Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Education in Kenya is a serious matter. We don't joke.
IMG_20181113_104033.jpg
 
Edward Wanjala, siku nyingi my friend.I hope life has been treating you well
 
Tupate lesson from Danganyika??? YOU must be one headless chicken. Hilo linchi linaezaongozwa na giza??? Afadhali Tupate lesson from a two legged dog than from A satanic dark nation like yours. That will never happen.

Unakalibia kujifungua ingawa mtoto hatakuwa na baba.

Pole bana punguza hasira.
 
Yeye kachukua afrimma the best rapper east Africa,wala Casper nyovest hakuwepo kwenye category..
Weka screenshot ili tuthibitishe..
The fact remains he was the best rapper, excuses peleka kwako.
 
Wivu itawamaliza watz.
Tuone wivu kwa kaligraph Jones kuchukua tuzo ya afrimma??..sisi huku bongo tuna wasanii wana tuzo za B.E.T na MTV,we unazungumzia afrimma,tuzo za afrimma watu wamejaza kabati,sasa kama ukikuwa haujui kali jones kachukua tuzo ya rapa bora afrika mashariki kwa msaada wa marapa wa bongo,hivi karibuni kaja kufanya kolabo karibia sita na marapa wa bongo ndio kawekwa kwa nominations,kabla ya hapo hakuna rapa wa kenya aliyewahi kuwa nominated,najua utabisha but kaligraph jones knows it all..
 
Back
Top Bottom