Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tatu City Nairobi Kenya
IMG_20181113_095535.jpg
IMG_20181113_095552.jpg
IMG_20181113_095624.jpg
IMG_20181113_095648.jpg
IMG_20181113_095833.jpg
IMG_20181113_095624.jpg
IMG_20181113_095339.jpg
IMG_20181113_095256.jpg
IMG_20181113_095420.jpg
 
HAYA NDO MATUMIZI MABAYA YA ARSHI HAPO HATA HAJA YA TRFIKI LIGHT HAKUNA NI OUT OF THE CITY
Hawa walitumia pesa vibaya sana ndio maana leo nchi inayumba haina pesa ya budget wala yakulipa deni unaekeza overpass nakuru hvi nakuru kuna haja ya overpass 😂😂😂😂😂
 
Hawa walitumia pesa vibaya sana ndio maana leo nchi inayumba haina pesa ya budget wala yakulipa deni unaekeza overpass nakuru hvi nakuru kuna haja ya overpass 😂😂😂😂😂
WATAUZA MABENKI NA VIWANDA 26 KULIPA MIKOPO YA WACHINA
 
Hizo ni opinion za mtu binafsi asili ya africa ni Black ".. vitu vingine ni utani sasa anapochukia ukweli wa asili wa rangi yake atakuwa ni mpuuzi...na hilo kuhusu kubaguliwa huku hakuna mbona mimi ni black kiasi ila sijawahi kubaguliwa na shule niliyokuwa naskul mimi karibia wote wengi wao ni white na wengine choclate colour ila sikukumbana na hiko kitu cha ubaguzi ila utani wa hapa na pale haukosi
Jingatype. Nyinyi watz MNA ubaguzi wa rangi.Pale YouTube kuna dem Fulani alikuwa analalamika eti alikuwa anabaguliwa sana shuleni na kuambiwa yeye mjaluo kisa weusi wake.
 
Hizo ni opinion za mtu binafsi asili ya africa ni Black ".. vitu vingine ni utani sasa anapochukia ukweli wa asili wa rangi yake atakuwa ni mpuuzi...na hilo kuhusu kubaguliwa huku hakuna mbona mimi ni black kiasi ila sijawahi kubaguliwa na shule niliyokuwa naskul mimi karibia wote wengi wao ni white na wengine choclate colour ila sikukumbana na hiko kitu cha ubaguzi ila utani wa hapa na pale haukosi
See how you are contradicting yourself. Try to reflect on your previous posts above and see what you said about Kenyans. Isitoshe, umesema Niko na ngozi ya mamba.
You're are an ignorant dumbass
 
Kichwa chako huwa ni kizuri kweli???
Ahahahha so hutaki kuambiwa ukweli yani tatu city nimeanza kuiskia 7 yrs ago haya nipe update ya tatu city hamujafkisha hata 0.5% construction of tatu city😁😁😁😁
 
hawa majamaa wapo for fashion for show na si for future........mwisho wa siku vitu vyao vitabaki kuwa local n zero quality
Hawa walitumia pesa vibaya sana ndio maana leo nchi inayumba haina pesa ya budget wala yakulipa deni unaekeza overpass nakuru hvi nakuru kuna haja ya overpass
 
Back
Top Bottom