Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya wakiamua kujikata hii Kenyan forum inaweza boo sana. Hizi vindu vijinga huwezi ziona humu tena. Zinakuja hapa sababu ya wakenya

Kwani kenya forums inamsaidia nini mtz???kumbuka kwamba mngekuwa na uwezo mngeacha hata huu uzi ujifie but you know what?........
 
Mimi hupitia chats zao daily na kucheka [emoji28][emoji28] nawaelewa.. They use 2℅ of their brains ama ilikua percentage gani??

Sasa tunatumia 2% na nyinyi mko na sisi hapa mkitumia 100%,tuki sogeza 3% mnapasuka vichwa🤣🤣🤣
 
They are so insecure.that's why they blame Kenya for everything that's happens in their country. They find consolation in kibera and turkana. The rest of Kenya ,hawaiwezi wallahi

[emoji2][emoji2][emoji2] i like the way mnatafuta nafuu za mioyo yenu.
 
Mbona unaandika kwa hisia hivyo wewe maskini!!? Nimekueleza utuambie kazi yako ni ipi. Mnaliwa na funza kila siku huku mkishindwa hata kujenga choo na kuwa na FLYING TOILET.
😀😀
Kwenda uko..nipee number yako nikutumie pesa
 
Dar es salaam SKYLINE..
2400CB18-955E-4FEA-B983-C54867F9A275.jpeg
 
Back
Top Bottom