ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
😀😀😀😀😀😀 sasa nikikwambia nairobi ndogo sana na imejengeka sehemu ndogo utabisha badoDensity ya majengo zinakaa ugly ivo ebu ona Nairobi![]()
😀😀😀😀😀😀 sasa nikikwambia nairobi ndogo sana na imejengeka sehemu ndogo utabisha badoDensity ya majengo zinakaa ugly ivo ebu ona Nairobi![]()
Mnaanza nini na mlipata independence mbele ya kenyaHehehe wivu mbaya sana na hio ndio moja ya sifa ya wakenya wivu na roho mbaya...2017 my friend na bado ndio kama tunaanza😀😀😀😀😀😀
Povuuuuuuuuuuuuuuuuuu😀😀😀😀😀😀😀Mnatuletea waislamu weusi wa bongo mnasema waarabu..iyo ujinga sitakagi
Nairobi in bwaku msee😀😀😀😀😀😀 sasa nikikwambia nairobi ndogo sana na imejengeka sehemu ndogo utabisha bado
Tunakubali tulikua tumelala miaka ila 10yrs tumeamka lakini sasa sleeping giant kaamka ndo mambo yenyewe hayo unaona kamba shingoni na sasa hvi Tanzania wasomi wengi sana sio kama huko nyuma na Siku zote nakwambia tumejenga hii nchin with 10 yrs my friend hahahhahahah its not a jokeMnaanza nini na mlipata independence mbele ya kenya
Nyali mombasaKwikwikwikwikwi
OysterBay Dar es salaam Tanzania
View attachment 499906
View attachment 499908
View attachment 499907
View attachment 499909
Rushwa nyingi huko....sishangai...ndo maana Nairobi is top 3 among most expensive cities in africa..kuisha ni shda sana..things so expensiveBy 2017 Kenya has 9400 millionaires..6100 in Nairobi..Nairobi alone beats the rest of east africa... Mombasa has 1000 ...the rest of Kenya without Nairobi and Mombasa in millionaires beats Tz.
Haha shida Kenya inajenga na kasi kuwashinda...mkimaliza sgr hadi morogoro sisi tumeifikisha malaba Uganda waendeleze hadi kampalaTunakubali tulikua tumelala miaka ila 10yrs tumeamka lakini sasa sleeping giant kaamka ndo mambo yenyewe hayo unaona kamba shingoni na sasa hvi Tanzania wasomi wengi sana sio kama huko nyuma na Siku zote nakwambia tumejenga hii nchin with 10 yrs my friend hahahhahahah its not a joke
Baba pole sana economy ya Tanzania sio ile 45 billion hahaha muulze mwenzako nilimuonesha economy ya 2016 kaangalie vzr katika economy mumetuacha gap dogo sana yani within 3 yrs tunakula kamba mojaKenya vs Tanzania
On Sports, Kenya 31.gold -Tz 0 gold 39.silver-2 silver 31.bronze-0 bronze
Transport Kenya 160000km(good) Tanzania 86000km what a shame
Budget Tanzania uganda and Rwanda combine together can not surpass kenya budget.
Kenya is away ahead on dollar millionaires 8500 are inside United Counties of Kenya...Tanzania 2200 uganda 1300 Ethiopia 2800 dollar millionaires)
Kenya is fourth influential country in africa after SA, Ethiopia, Egypt, Tz is 17
Sasa huoni aibu kutuwekea ..Mfano wa Daraja...unataka tukuwekee Daraja lenyeweNyali mombasa![]()
![]()
![]()
![]()
Dar is expensive kuishi than Nai man..rent hapo dar ni 3-5 times expensiveRushwa nyingi huko....sishangai...ndo maana Nairobi is top 3 among most expensive cities in africa..kuisha ni shda sana..things so expensive
Kwakwakwa hio yenyewe mpaka Leo haijaanza kazi 4 yrs Leo hahahaha sisi tumewapa 2.5 yrs na yakwetu inajengwa na nchi mbili turkey na Portugal hahaha Alf kumbuka yetu ni electric my friend the second fastest train in africa😀😀😀😀Haha shida Kenya inajenga na kasi kuwashinda...mkimaliza sgr hadi morogoro sisi tumeifikisha malaba Uganda waendeleze hadi kampala
Uzuri wa 80% kila mmoja anamiliki nyumba yake wageni ndio wanaopanga nairobi 20% ndio wanamiliki nyumba na hzo ndio statistics zipo😀😀😀😀😀Dar is expensive kuishi than Nai man..rent hapo dar ni 3-5 times expensive
Unajua shidaako hu comprehended vi2 haraka...sgr ya Kenya ni double..yenu single...Mombasa to Nai ni ki2 500 km yenu itakua 300km..alafu terrain ya Kenya maze haikua friendlyKwakwakwa hio yenyewe mpaka Leo haijaanza kazi 4 yrs Leo hahahaha sisi tumewapa 2.5 yrs na yakwetu inajengwa na nchi mbili turkey na Portugal hahaha Alf kumbuka yetu ni electric my friend the second fastest train in africa😀😀😀😀
Unajua wewe kuna kitu hua unashindwa kuelewa nilikwambia Kenya is leading with a gap of rich and poor in the world, sasa watu wanaoishi middle income Tanzania ni wengi sana kuliko Kenya ndio maana nakwambia ukali wa maisha Kenya ni mkubwa sana sanaBy 2017 Kenya has 9400 millionaires..6100 in Nairobi..Nairobi alone beats the rest of east africa... Mombasa has 1000 ...the rest of Kenya without Nairobi and Mombasa in millionaires beats Tz.
Kwan uliambiwa sisi tunajenga 300 tu mbona zabuni ya 330 km muendelezo ishatolewa tyari wanangojea kutangaza nani atapata hio kazi baba Tanzania haijalala tunajenga 630 kwa mpigo na kwa awamu tofauti tofauti kua mpole hahahhaa 😀😀😀😀😀Unajua shidaako hu comprehended vi2 haraka...sgr ya Kenya ni double..yenu single...Mombasa to Nai ni ki2 500 km yenu itakua 300km..alafu terrain ya Kenya maze haikua friendly
Lastly shamba huku haimilikiwi na serikali wa2 inabidi walipwe kwanza.ata 4 years tumeharakisha