Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]fukuzeni hao ila 100% hao ni ndugu zenu tena wazawa wa kikenya msiwafanyie ubaya kwani hao ombaomba ni ndugu zenu
Namnakuwa na ombaomba wengi kwenye city zenu sababu mnajopo kubwa sana la wananchi wasio na ajira hivyo lazima mproduce ombaomba namachokoraa wakutosha
Namnakuwa na ombaomba wengi kwenye city zenu sababu mnajopo kubwa sana la wananchi wasio na ajira hivyo lazima mproduce ombaomba namachokoraa wakutosha
Kuna operesheni ya kuwarudisha hasa wale walio Nakuru