Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajua Pipeline ni kubwa kuliko Dar slum yenu?.......ona sasaaa...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji855][emoji855][emoji855][emoji855]View attachment 922001View attachment 922003
Msifanye hivi. Yaani unalinganisha Dar is Slum nzima against Eastlando!?
Eastlando is getting super upgrades daily. Remember Outer ring Road opened up for investments and now development of missing link roads.
 
Kwakuwa mmesema hao ni wabongo kauli yetu kubwa kutoka kwa mkuu wa nchi presidaa Magufuli ni muwaondoe hao ......kwanini mnakaa nao wakati si raia wa kenya na hawapo kisheria maana ukija huku Dar hao watu hawaonekani na ukiwaona ni mmoja mmoja
Watu kama nyie ndiye mnawatumia vibaya. Mnazembea kazini mtafutiwe hela na wakenya na hizo hela mnachukua kwa njia isiyo halali.kutumia viumbe wasiojiweza. Si sawa
 
Watu wa Turukana wanamkimbilia ju wanadhani anekuja kupeana pesa za campaign [emoji23][emoji23]
Nimegundua aslay anawaumiza kichwa sana watu na bodaboda wanamkimbilia kama president, muwaambie wasanii wenu waache kuimba mziki ugly..
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ati largest in eastern and central nini. Alafu mlifika 7M passengers siku gani
 
Nmewah kutana nao baadhi huja kutanua tu na kubadili mazingira,wengine ni wafanyabiashara wa vitunguu na mazao kama mahindi nk huja kulangua wanasafirisha,jamaa wanajua biashara na kutanua kwelikweli na kingereza mob
na kula bata ,mimi ni fan wa A Town
 
Wanaonekana mmoja mmoja dar maanake nyie ni wabahili sana. Hamwezi saidia maskini wenu. Hapa Kenya wanapewa hela ambazo zinachukuliwa na wale wanaowatuma. You are the biggest beggars exporter
Mtapata tabu....sana """swali ni moja tu kama hao ni WATZ kwanini msiwafukuze ili warudi makwao?...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…