Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 8,291
- 3,647
hakuwa na pesa ya kulipa hoteli, jamaa akazuiliwa mpaka saa tisa usiku ndio akaachiliwa....subutu unafkiri wasanii wa tz ni kama wasanii wa kenya wasanii wa tz pesa kwanza show yoyote ukiwaita lazma uandae kitita cha maana ni kama vile alikiba alivotengeneza pesa kwa joho kipindi cha kampeni 😂😂😂😂👇👇👏👏
Fans disappointed after Harmonize fails to perform in Eldoret – Nairobi News

