Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

="game over, post: 29053650, member: 346898"]Yap. Naona Estim Construction Company (a tanzanian Company) wanafanya kazi day and Night,

Na Ndio kampuni iliyojenga Towers zetu ( Pspf Golden Jubilee, Pspf twin towers , TPA Tower , PPF HQ , NMB House , CRDB HQ, Aga Khan Hospital na almost Project nyingi za maana Hapa Bongo. Wapo vizuri sana. Tanzania Inajengwa na wenyewe.[/QUOTE]
 
Project nyingi sana Anzia Morroco square , Seven elven , Pspf twin towers , Pspf Golden Jubilee, TPA HQ, zipo nyingi sana Pamoja barabara kibao.
Basi wanafanya kazi nzuri sana...
 
Middle income
Lower middle income
Per capital of $1700
Tanzania LCD
Per capital $1100

Kiuhalisia Kenya ni nchi masikini kama ilivyo TZ, per capital of $3000 nakuendelea ndio inareflect middle income halisi sio chini ya hapo...hata ukipiga hesabu tu ndogo kama kipato chako kwa mwaka hakivuki $3000 hasa ww utasema unaishi Au unadumu
 
Juzi nilipost hapa barabara, jamaa akiita hizo nyanga eti vi-hiace. Anadhani hiyo ni mitungi huendeshwa kule Dar
IMG_20181104_142135.jpg
 
alirudi mkono mtupu
subutu unafkiri wasanii wa tz ni kama wasanii wa kenya wasanii wa tz pesa kwanza show yoyote ukiwaita lazma uandae kitita cha maana ni kama vile alikiba alivotengeneza pesa kwa joho kipindi cha kampeni 😂😂😂😂👇👇👏👏
 
Back
Top Bottom