Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyumba isioisha
Izi ni nyumba mbili tofauti kijana
FB_IMG_1532260771396.jpeg
 
Hii hadi 2020 ndio itakua tayar...

Yap. Naona Estim Construction Company (a tanzanian Company) wanafanya kazi day and Night,
Hii ni phase one, mpaka Magu anatoka madarakani Hii kitu itakuwa imefika Chalinze, Kama sio Morogoro...

Na hapo bado Ubungo Interchange inasimama kwa kasi ya hatari,
Mambo yanazidi Kunoga
 
Kumbe hao jamaa ni wabongo. ..walishapewa project gani kubwa kabla...
 
Back
Top Bottom