Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Shirika lina umri wa miaka 2.ulitaka liwe na ndege mia ngapi???
shirika dogo sana hili,, bado ndio linaanza kutambaa, hata halijaota meno ya mbele. kuiweka kwenye sentensi moja na kq ni kama kuitukana kq
 
shirika dogo sana hili,, bado ndio linaanza kutambaa, hata halijaota meno ya mbele. kuiweka kwenye sentensi moja na kq ni kama kuitukana kq

Ndio maana nashangaa hasira za wakenya kwenye shirika letu.

Shirika ni letu,liko na route za ndani pekee,mmepata stroke
Tumeanza uwanja kwanza na ndege tatu-done

Hatujaanza kusombelea watarii,tukawamwage serengeti kabisa.
 
Ladies and gentlemen i present to you Mzizima
DqxylFkWoAE5Sfy.jpg
 
kwa sasa lina dirmulaina moja. na vi-bombadier viwili. yaani drimulaina ikikupita hivi leo, itabidi uisubiri kesho tena ujaribu bahati yako
si bora ya hzo saba zimenunuliwa mpya tena cash na zenu zikwapi munazomiliki ukizipata nitag😂😂😂😂👏👏👏👏
 
keep on eating sukuma wiki kwa githeri,such kind of food you can't afford...so much excuses,ooohh male food,sijui mwanaume kula chips ni very cheap excuses,luckily, we know..
OK. Let's just assume I can't afford. I was only concerned sikuwa na ubaya wowote. It's even healthier to consume that githeri with sukuma you know. Consuming chips on a daily basis could endanger the health of a person. It can cause hbp due to the sodium content, high cholesterol levels sababu zingine zinapikwa using saturated fat,weight gain na ndio maana anaambiwa kuhusu wowowo among other health problems.and maybe he doesn't even exercise.
Githeri and sukumawiki ni chakula kizuri kuliko chips
 
Back
Top Bottom