Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aiseh!!!
Katika maisha yangu, sijaona mwanaume anajisifu kupika wallai.
Mwanamme mzima unakaa kando ya jiko masaa manne kupika chapati na maharage ya nazi!!!!!! heheeee.... Subhanallah
Yawezekana umekulia Kwa watu wanaokota vitu jalalani ndio maana kupika mnadhani ni Kwa wanawake .
Bro mi mwenyewe napika vizuri tu chakula chochote nachotaka kula unless nikose muda
Nyie wa majalalani endeleni kuzunguka mkitafuta mkate wenu wa kila siku
 
Nonsense
 
mwenzio kasema terminal 2 au alikua anajifurahisha😀😀😀😀😀😀😀😀
16 lanes ndio inajengwa hvi😱😱😱😱😱😱😱😱
View attachment 910214
I think they have to see it to believe...16 lanes
JKIA.PNG
 
Yawezekana umekulia Kwa watu wanaokota vitu jalalani ndio maana kupika mnadhani ni Kwa wanawake .
Bro mi mwenyewe napika vizuri tu chakula chochote nachotaka kula unless nikose muda
Nyie wa majalalani endeleni kuzunguka mkitafuta mkate wenu wa kila siku
kati yako na Suusan, nani anajua kupika biriani kumshinda mwenzake?
 
Don't you all have closed minds? They will remain closed till further notice.
Youcan't engage yourselves into thinking that's why you copy everything. Even insults.
Unaona raha kutukana wenzio,ukitukanwa wewe unakasirika!!..hapa sheria ni moja tu ukileta ushamba tunakuletea ushamba tu!!afagiliwi mtu...
 
As a man, vyakula ambavyo unastahili kujua kupika ni kama ifuatavyo
1. Chai
2. Mayai
3. Ugali
4. Nyama (tumbukiza)

&life goes on. ukianza kujihusisha na kupika vyakula vyengine, utaolewa!
 
As a man, vyakula ambavyo unastahili kujua kupika ni kama ifuatavyo
1. Chai
2. Mayai
3. Ugali
4. Nyama (tumbukiza)

&life goes on. ukianza kujihusisha na kupika vyakula vyengine, utaolewa!
Mpuuzi taslimu, baki na ujinga wako
 
As a man, vyakula ambavyo unastahili kujua kupika ni kama ifuatavyo
1. Chai
2. Mayai
3. Ugali
4. Nyama (tumbukiza)

&life goes on. ukianza kujihusisha na kupika vyakula vyengine, utaolewa!
Umesahau githeri smh!
Stupid monkey!
 
Hata hao Namibia wanategemea Medical Doctors from Tz,
Intact Tanzania Leads in Healthcare service and Delivery,
Starting from our well organised pharma industry, to Medical services and logistics.
Ni suala la Muda tu Nyota yetu itang'ara.
na ndio maana members of SADC countries wamempa tanzania dhaman tanzania ya kununua dawa na kusambaza nchiz zote za SADC
 
Back
Top Bottom