Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watoto na wajukuu vp...hhh!!!kumbe nynyi vilaza sana...hta hamfikirii mbele..kazi kuwaza na kuhadithia story za zamani...
Ndio manake nchi yenu akili za wazawa zero kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
wakenya wangapi wamejipanga kuumia na unga wa ugali wanyooshe mikonoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰

bei ya unga ya kenya inakuhusu nini..mwanamke wewe tafuta biker na pant uvae
 
Utashangaa sana basi...huku kenya inapaa[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji382] [emoji382] [emoji382]
 
Hhhh!!asikudanganye hyo...wabongo wengi sana kenya...na hawajalalamika kuhusu wao kuwepo kenya..ila wakenya bongo wanapelekwa mbio kishenzi..kisa babu zenu waliwahadithia kuwa wakenya wana roho mbaya
mtanzania alieshindwa maisha tanzania hataweza maisha kokote trust me wakenya mnaitamani sana tanzania sema kwa sasa uncle magu kawakazia kamba kisawasawa bahat nzuri mm kenya nimefika sana na tabia zenu nazijua vzr sana
 
Utashangaa sana basi...huku kenya inapaa[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji382] [emoji382] [emoji382]
inapaa utaota ndoto wewe yakumiliki ardhi mpaka yesu ashukeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’‰πŸ’‰πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Ichoboy ni mchochezi. Hajawahi fika Kenya. Wakenya hawana roho mbaya. Nakuhakikishia hili. Don't let him control your thoughts. You will end up hating people for no reason
This year ntakuja Nairobi. Wapi kuna hoteli za bei rahisi na karibu na town iwe rahisi kuzunguka Nairobi? Plan ni kuja friday na kurudi Sunday
 
ndege zote kwasababu hujaniletea ushahidi kua kq inamiliki ndege yoyote na kama ipo niletee leo nikukamue uharo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
Haya mimi sijaleta ushahidi..tetea hoja yako ya zote..ukishindwa kilaza...sawa...[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hhhh!!asikudanganye hyo...wabongo wengi sana kenya...na hawajalalamika kuhusu wao kuwepo kenya..ila wakenya bongo wanapelekwa mbio kishenzi..kisa babu zenu waliwahadithia kuwa wakenya wana roho mbaya
Huku Bongo Kenyans wanaishi free zaidi nadhani kuliko Kenya penyewe.
 
Sitaki loss..nataka idadi ya hzo leased aircrafts...hhhhhh!!
Kuhusu loss najua..ila idadi ya hzo leased aircrafts yaonyesha waifahamu..hebu nijuze great thinker[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382]
ahahahahhaha mm nakwambia ndege zote ni leased kwasabbau hujawah na hutawah kuniletea link kua kq inamiliki ndege hata moja πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
mtanzania alieshindwa maisha tanzania hataweza maisha kokote trust me wakenya mnaitamani sana tanzania sema kwa sasa uncle magu kawakazia kamba kisawasawa bahat nzuri mm kenya nimefika sana na tabia zenu nazijua vzr sana
Kakaza kisa anaiogopa sana kenya...
 
Hhhhh!!!naona umehamisha magoli!!hhhh!!!
MLDC mutasubiri ajira mpaka mvi za kwenye ulimi ziwatokeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰ failed state

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…