Arnold mrass cannambo
JF-Expert Member
- Apr 13, 2018
- 4,067
- 2,640
The best beach in Africa. Diani Kenya!!!

















Hehe.. Jamaa umeandika kwa emotion sana ..but that tower is surely 15flr au hata kama ni 14flr point si umeipata. Unajua wakenya mmezid kudharau mnazani kwamba 10-15flr tower ni kitu.. Kwa hyo picha tu 11flrs zinaonekana...kisa mnaona tumeweza na kuna hayo majengo. Mnaanza ku catch feelings sijui mambo ya kyenyeji.. Acheni dharau. Najua haumini kuna 15flr tower Moshi ila lipo.. Na kwa dharau zako ntakuumbua nikienda Moshi soonwe jamaa, mambo yako chai rangi sana. hauko serious kabisa na maisha.
sasa nimejua kwa nini ulikua ukiitishwa jina au link, unaleta vijisababu vingine visivyo na miguu wala mikono.
unajua skyscrapercity ni kama j.f tu ila huko wamekita sana kwenye majumba na majengo.
mwendawazimu mmoja kakurupuka na kutia post huko tangu last year na kuweka caption
na kutoweka bila support yoyote ndio unataka tumuamini sio?
unahitaji maombi sio bure. hapa hatufanyi vitu kienyeji.






We got so many hd videos on youtube that show dar steets,may be you lack of buddle to watch.
Watu wanadead coz ya ukimwi wa kurogwa. Hawa wasee kwa uchawi ni nambari mojaNilidhani Nigeria ndio wachawi, Kumbe Majirani hapa ndio Wanaongoza hio sector.
Tanzania kuna city moja tu,nayo ni slum cityhow is kisii kakamega meru nyeri thika eldoret or nakuru not cities!!!!!!going by tz standards we should be having 20 cities
Bro, In have been there countless times, sioni jipya hapo,I didn't dwell on what is special in my post but rather the fact that you (Game Over) can take your phone or PC and explore the Nairobi the most Glorious City in Africa. Without asking anyone. You can take photos by yourself. At anytime.
We could have wished that Dar also gets street view so that we can explore for ourselves but my bad.
Game over.
Sijawahi jua middle class wa Dar slum huishi wapi sababu ukipost hiyo slum useme huko ndiko middle class huishi wanakata.....ukisema huko ndiko lower class huishi wanakata,sasa nimechanga nyikiwa kama Tanzania kuna middle class au hakunani kama kila mtanzania au 95% wanaishi tu kwa vibanda hivyo mbovu
View attachment 913318View attachment 913321
Hater!!! Naja arusha hivi karibuni. Nitapiga picha nije kuzianika humuBro, In have been there countless times, sioni jipya hapo,
Nairobi ilikuwa zamani, kwa sasa ni Old School bro.
Hater!!! Naja arusha hivi karibuni. Nitapiga picha nije kuzianika humuBro, In have been there countless times, sioni jipya hapo,
Nairobi ilikuwa zamani, kwa sasa ni Old School bro.
Naomba ufikie kwangu, nipo Kijenge, NYUMBA namba 42. Karibu sana nyanyangu.Hater!!! Naja arusha hivi karibuni. Nitapiga picha nije kuzianika humu
Close down that opening bro, you are exposing your ignorance.Lol....that's only 3 km from cbd
Unajua kupika?Naomba ufikie kwangu, nipo Kijenge, NYUMBA namba 42. Karibu sana nyanyangu.
Umejuaje?, Mimi kazi yangu ni mpishi katika Hotel ya Mount Meru, yaani kwa mapishi hapa ndio umefika.Unajua kupika?
Nimegundua hauna nyanya za kutosha. Ndio maana umekuwa ukiniita hiki kiungo cha upishi. Mimi sikiungo cha kupikia. Mimi ni binadamu.Umejuaje?, Mimi kazi yangu ni mpishi katika Hotel ya Mount Meru, yaani kwa mapishi hapa ndio umefika.
Usifanye hivyo, Mimi nimeshaandaa kila kitu kwa ajili yako, usipokuja utanizingua ujue.Nimegundua hauna nyanya za kutosha. Ndio maana umekuwa ukiniita hiki kiungo cha upishi. Mimi sikiungo cha kupikia. Mimi ni binadamu.
Do u expect them to live together in Uniform mabweni?Sijawahi jua middle class wa Dar slum huishi wapi sababu ukipost hiyo slum useme huko ndiko middle class huishi wanakata.....ukisema huko ndiko lower class huishi wanakata,sasa nimechanga nyikiwa kama Tanzania kuna middle class au hakuna
Ukifika Arusha niambie sweetheart, come test the sweetness of A-City.Hater!!! Naja arusha hivi karibuni. Nitapiga picha nije kuzianika humu