evart
JF-Expert Member
- Sep 4, 2016
- 2,838
- 2,774
Gdphiyo dar yenu imeshindia nini mombasa...............
Gdphiyo dar yenu imeshindia nini mombasa...............
hiyo dar yenu imeshindia nini mombasa...............
Unaboshana na mtu anaeishi Mombasa. Hajawahi fika hata Nairobi. Alitoka Ushago akafika Mombasa alipo ona gorofa akaona amefika Nai😂😂😂😂Inawezekana kabisa hata hujui tofauti ya baba na mama yako.
Huyo kapuku hawezi elewa inaelekea anaumwa ukichaa
Kaka ni hatari hawatotuweza
Hiyo kitu ni kiwangi aiseeeVIVA TANZANIA, this is the ultimate East African skyscraper😱😱😱😱View attachment 910646View attachment 910647
nairobi inashinda nini dar hebu tueleze😂😂😂😂😂😂 dharau zenu ndizo ziliwafkisha hapahiyo dar yenu imeshindia nini mombasa...............
Flyover ipo hapo juu inajengwa
Interchange roads
View attachment 455918 View attachment 455919 View attachment 455920 View attachment 455921
Coming ubungo Interchange Flyover
View attachment 455922
http://tanroads.go.tz/uploads/documents/en/1449130015-UNDER PROCUREMENT.pdf


1.Superhighways,modern rail,interchanges ,bypasses.nairobi inashinda nini dar hebu tuelezedharau zenu ndizo ziliwafkisha hapa
Diani won the best beach destination in Africa....Hivi mombasa+nairobi inaweza hata kushinda na zanzibar kwenye hoteli!!!???hahahaha,pia mombasa haiwezi kushinda na Arusha kwenye hoteli......Dar league yake saiv ni cairo,capetown etc.,hapa EAC labda Mombasa+nairobi ndiyo zitaitikisa kidogo..
Nadhani hawana. Wanajijengea tu majengo bila hata plan.
Arusha plus Zanzibar hata haifikii nusu ya mombasa.........do you know the value of mombasa cityHivi mombasa+nairobi inaweza hata kushinda na zanzibar kwenye hoteli!!!???hahahaha,pia mombasa haiwezi kushinda na Arusha kwenye hoteli......Dar league yake saiv ni cairo,capetown etc.,hapa EAC labda Mombasa+nairobi ndiyo zitaitikisa kidogo..



Tanzanians mkitoa emotions kwa debate facts don't favour you so mnaandika tu ndio muonekane mmeandika......Mombasa is both a commercial and tourist city with the largest and busiest port in East and central Africa
Barabara zinajengwa
Mpaka sasa nenda Mataa pale Tazara wapo busy.
Reli ipi unazungumzia !!
Nairobi wana Reli ya mkoloni ambaya hata Dar ipo
Japo wapo kwenye kakipisi ka SGR ka Mombasa to Nairibi
Bado haija fanya kazi kuizungumzia hiyo!!
Hata sisi tenda lipo hewani
Na wakandarasi tayari wamesha jitokeza
Tunaanza na Dar to Moro mwaka huu.
Hakuna kipya Nairobi Dar hakuna kwa sasa
Look who's talkingWakenya ni machizi
Look who's talkingView attachment 911041
Kweli kabisa jamaa kakurupuka