Walker255
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 4,884
- 12,949
Dada Janerose streets unazotaka hizi hapaidle streets. Watu wamezubalia majengo.
Dada Janerose streets unazotaka hizi hapaidle streets. Watu wamezubalia majengo.
Unetumiwa waswahili umeanza ku bwabwaja..sasa unataka kusema bongo kuna wasichana kuzidi waswahili wa pwani ya kenyaHivi unajua ukiweka make up na una sura mbovu unakuwa kama mdudu?
The one and only condition ya Make up kukaa vizuri ni lazima mtoto wa kike awe mzuri, hapo make up inamkaa,
Sasa nyie wakenya na hizo sura kama mnatafuna limau unadhani mkiweka make up mnakuwaje? Si mtafanana na Bundi?
Imagine.
wakibiwa maneno ya ukweli wanakasirika
😂😂😂👏👏👏👏👇👇👇👇👇
wachina wachina wachina😆😆😆
Ichoboy ukiumwa lazima utaleta kibera...huo ndio tunaita upunguani...hhhh
Si hii kuna day mlipost mkasema ni highlands estate..leo imekuwa mikocheni tena..hhhhh
The same same posta...
Ulitaka iwejeThe same same posta...
Maoni ya mtu hayo......muulize lini alikosa mshahara na marupu rupu yake yote hyowakibiwa maneno ya ukweli wanakasirika
wachina wachina wachina
Leta dada za imf na world bank piaChinya
nini kuhusu deni la China?Leta dada za imf na world bank pia
comrade hizi picha ni za nchi gani?. samahani nimeuliza tu ili nijue maana hii haiwezi kuwa EA.
That picture was taken when the flyover was fresh off the boat so that would explain why people were all over itHilo daraja lajuu na hiyo picha ya mwisho nimeona idlers. The pics are awesome though. Modern buildings
Nakukumbusha tuu kua Dar es salaam ina raia wengi kuliko Nairobi. Muda wa kazi watu hutulia maofisini kupiga mzigo, hakuna majobless wengi kuswampa ovyo town kama Nairobi.













bila shaka wewe ni mgiriama. the way ulivyoandika hiyo "nifindishe" unanikumbusha rafiki yangu mmoja mgiriama nilikutana naye nairobi last year.Nifindishe
Hapana bana, miji mikubwa siku zote huwa na magari Mengi, huwezi amini almost 80% of New Yorkers don't need cars because of the city's extensive transport system( Monorail, Subway, Cabs, Buses)Vipi kuhusu magari? They are very few compared to Nairobi
😀😀😀😀kumbe umepata bundles ukaja kukurupuka kama kawaidaHii battle iwe Dar es salaam vs nairobi+mombasa,kwasababu Dar imeigaragaza nairobi 7-0.
How come FDI ya Kenya ni ndogo ukilinganisha na ya Tz kwa miaka zaidi ya 7 iliyopita ata Rwanda imewazidi au hao real investors unaowataja wapo kwenye ndoto zako wanakuja usiku ukiwa kwenye njozi.80% of Ugandan imports and exports pass through kenya. It takes more than SGR to do this. Kenya has good roads, a functional pipeline, A huge modern port, inland Dry ports, a function large capacity SGR,It is strategically located,a stable economy and the Main commercial city in East Africa! (Nairobi). Only a fool would pass his goods through a shithole Nation like Tz. Real investors invest in Kenya. Fools who want to make loses would invest Tz & that Mr Museveni knows very well. If Ethiopia & S.Sudan eyes Mombasa who are they not to![]()