Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Hilo ni eneo la reli kama lenu hapo chini , na Sgr yetu itafanya mambo hapa maana hapa itakua cargo terminal rudi baada ya muda utaona, too Bad ya kwenu station ipo nje na sioni dalili za kubadilika hapo soon . IMO

Mambo kibao hata hatuchekani. Mengine mnatembelea kichwa kabisa kwa jinsi mnavyoongea. Siku zingine nikiwasikiliza huwa nahisi mnatoka New York 🤣🤣🤣🤣





 
Sasa NBO utajenga daraja ya kazi gani? Kuvuka mchanga ama?.Sasa mtu anaishi Kigoma na Jinja atasaidika aje na hizo daraja?[emoji23][emoji23][emoji23]. Hizi daraja zenyu ni useless ju ni too expensive yet only a few would use them. Si mkue kama kenya, develop the whole nation not your main cities.
Kenyans you need to catch up, Uganda and Tanzania have already reached another levelView attachment 906209View attachment 906210
 
Zanzibar haitutishi. Hio tunaipea Malindi story inaishia hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
so hutaki zanzibar iwe tanzania ryt[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
sikusema nbo bali nilitaja countries.
 
Dar es salaam vs nairobi+mombasa,coming soon kwasababu naona thread ni Dar vs nai lakini mara mombasa inaletwa kisumu etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…