Bottas
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 1,817
- 1,142
Asante kwa kulia liaWesty hivi westy vile hakuna lolote yani full kuchoshana
Asante kwa kulia liaWesty hivi westy vile hakuna lolote yani full kuchoshana
Mbona sioni aibu hapa,leo lazima muende mhumbili mkapewe dawa za preshaCBD yenu aibu sana unalijua hilo




Tuta,tuki,itamwakani utashihudia maajabu ya dunia tanzania nakushauri uwe mvumilivu na ujikaze kisabuni![]()




Dar inalumulia kwa mashine naona tuipatie Mombasasiku mukifkia density ya CBD alone siku hio nitag i will be there for u![]()




1.old cbdunasemaje???? nani kasema huyo kua nairobi ina CBD nne![]()
Naona presha imekupanda tafadhalu pitia mhumbili ukapewe dawa za presha naona unaumia tu burekitu nimekigundua hapa,hii battle watu wameshajua hawana pumzi tena,ila ni vile kukubali kushindwa ni aibu.
Sasa westland najaribu hata kuiweka na kimara ndio naona zinaendana.



hiyo skyline yenu naona tu minara ya simu na nyumbu. Dar's skyline has superb buildings, How many 35+ floor do you have in Nairobi? Coz i'd be happy to list ours and besides ourr city's property market values higher than yours, think twice bro
Sio Mimi naongea ni picha kwaivo wacha presha na upitie mhumbili ukapewe dawahiyo skyline yenu naona tu minara ya simu na nyumbu. Dar's skyline has superb buildings, How many 35+ floor do you have in Nairobi? Coz i'd be happy to list ours and besides ourr city's property market values higher than yours, think twice bro



Sitapoteza muda wangu na weweSio Mimi naongea ni picha kwaivo wacha presha na upitie mhumbili ukapewe dawa![]()
Yaani CBD yenu ni kadogo sana hata ukiweka westy na upper hill bado haitoshi mboga!!Mbona sioni aibu hapa,leo lazima muende mhumbili mkapewe dawa za preshaView attachment 906522View attachment 906523View attachment 906524
acheni hii kitu. huyo dogo ana kitu anatafuta sio bure.Ushawahi kumuona kwenye vikao vya U.N??..yule si raisi ni kama gavana,hupokea maagizo toka magogoni.
Wewe sometimes huwa na matatizo ya akili....si kupenda kwakoYaani CBD yenu ni kadogo sana hata ukiweka westy na upper hill bado haitoshi mboga!!
Eti westy nayo ni CBD lol ukistaajabu ya Mussa
Sikuzidi wwWewe sometimes huwa na matatizo ya akili....si kupenda kwako
Ati kadogo hapo ni cbd upande wa juu yaani hiyo ni nusu take ama kuna Mahali unaona kicc na times towers,cop towers etc? Kwa kweli tunaona vente dar ni kubwa Sana hapa chiniYaani CBD yenu ni kadogo sana hata ukiweka westy na upper hill bado haitoshi mboga!!
Eti westy nayo ni CBD lol ukistaajabu ya Mussa




Meambie iyi ni upande wa juu cbd mwambie akuonyeshe times towers na kicc kwa izo picha nime postWewe sometimes huwa na matatizo ya akili....si kupenda kwako



Ujenzi ulisimamiswa ka koti miezi kahaa ilioisha kuna mtu alijitojeza akasema ardhi yente jengo linajengwa mi lake na ako na hatimiliki ,koti ikapeana order ujenzi usimame Hadi kesi iamuliweTuonyesheni pinaccle tower (70flr)iko flr ya ngap![]()
LolAti kadogo hapo ni cbd upande wa juu yaani hiyo ni nusu take ama kuna Mahali unaona kicc na times towers,cop towers etc? Kwa kweli tunaona vente dar ni kubwa Sana hapa chiniView attachment 906569
Mlishachimba shimo kubwa sana pale hadi concrete mixier na nondo mob zilikuepo,nmeanza drama mapema sanaUjenzi ulisimamiswa ka koti miezi kahaa ilioisha kuna mtu alijitojeza akasema ardhi yente jengo linajengwa mi lake na ako na hatimiliki ,koti ikapeana order ujenzi usimame Hadi kesi iamuliwe View attachment 906573
Is this the only pic u got..sending it numerously....shows how empty you are