Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mlishachimba shimo kubwa sana pale hadi concrete mixier na nondo mob zilikuepo,nmeanza drama mapema sana
Koti za Kenya ni shithole tushazizoea....ivi mbona wasijiulixe uyo mtu alikuwa wapi wakati walianza kuchimba wakamaluza Hadi piles wakaweka mbona hangejitokeza... sometimes me uskia nikiwa frustrated Sana na judiciary yetu.
 
Washenzi walikuwa wamesimamisha ata avic ikabidi Uhuru aingilie Kati ndio ujenzi ukarejea..
 
Koti za Kenya ni shithole tushazizoea....ivi mbona wasijiulixe uyo mtu alikuwa wapi wakati walianza kuchimba wakamaluza Hadi piles wakaweka mbona hangejitokeza... sometimes me uskia nikiwa frustrated Sana na judiciary yetu.

so hamukosi sababu sio kwamba pesa hamuna sasa hvi madeni yanawapumulia matakoni
 
Yaani CBD yenu ni kadogo sana hata ukiweka westy na upper hill bado haitoshi mboga!!
Eti westy nayo ni CBD lol ukistaajabu ya Mussa
Hehe eti westy ni nn
tapatalk_1539708023940.jpeg
tapatalk_1539573911395.jpeg
 
ehehehheheh maskini ya MUNGU hata avic ujenzi umesmama pia hushangai
Avic Uhuru ilibidi aingilie Kati ndio ujenzi ukarejea ....sasa Pinnacle sina matumaini nayo ,korti za Kenya kuamua kitu Tu kidogo tutazunguswa miaka kumi ,unless waamue kutatua nje ya korti mi sina hopes.
 
so hamukosi sababu sio kwamba pesa hamuna sasa hvi madeni yanawapumulia matakoni
Nope sasa msomali na mwarabu pesa watakosa aje wakati wamechimba Hadi piles washaeka nacontract waka sign na contractors....
 
Avic Uhuru ilibidi aingilie Kati ndio ujenzi ukarejea ....sasa Pinnacle sina matumaini nayo ,korti za Kenya kuamua kitu Tu kidogo tutazunguswa miaka kumi ,unless waamue kutatua nje ya korti mi sina hopes.

sasa tuoneshe ushahidi kua avic imerejea
 
Nope sasa msomali na mwarabu pesa watakosa aje wakati wamechimba Hadi piles washaeka nacontract waka sign na contractors....

unafkiri kila mwenye pesa anaekeza ovyo ovyo hapo investor alishaona pesa yake anaiteketeza hakuna manufaa hapo
 
Back
Top Bottom