Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna mathare,kariobang,korogocho ,ichoboy analist kabisa

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Leteni hzo idadi za hao 2.25 ml basi..kumbe mnazijua...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yani leo mko pabaya..hamutoki..kila mahali kumoto...

Kenya ni kumoto weweeeeeee!!!hapana jaribu nyangau wewe
 
Leteni hzo idadi za hao 2.25 ml basi..kumbe mnazijua...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yani leo mko pabaya..hamutoki..kila mahali kumoto...

Kenya ni kumoto weweeeeeee!!!hapana jaribu nyangau wewe
Hahaha......umewashika kende
 
Ichoboy najua mishapa imetokea kichwani na shingoni....unatapatapa unapigania himaya yako......pwahahahahaha
 
Pambaneni na Kijitonyama kwanza, Posta hamuiwezi
Nairobi ya 2010 ndio mgelinganisha na dar 2018.......lakini Nairobi ya saa i??Ni Westland Vs dar[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sisi ata tulishaa sahau tuko na downtown focus yetu ni Westland na upper hill [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 905882View attachment 905883View attachment 905885
2018-10-21_12-33-53.jpeg
 
Wa tz msiJali...km ni mishipa haija kaa sawa..tutaiweka..ila tunahitaji mda..manake kw sasa imeshaathiri kila ubongo wa kila mmoja wenu...
Tunajua hizi si akili zenu..ni ulemavu tu wa akili umewakumba baada ya kuona kenya inapaa...so hatuezi walaumu..
Tunajua hali yenu ya akili kw sasa zi nzuri...
 
Back
Top Bottom