Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Badala ya kupiga domo hapa, mtu apost picha za neighbourhoods. We are waiting.
 
Kuona Nairobi online si kufika Nai..kutoka tu Airport hadi city centre(Mombasa road) utaheshimu hii city
 
Tuonyeshe suburbs kaka
Jitulize
Mnapo ongelea jambo Jf jaribu ku tafuta kwanza humu humu jf
hilo sio jipya
limesha jadiliwa sana mwaka 2015
Tena nawatu wenye kujitambua zaidi ya ninyi Zero!!

Hii jf ni kubwa
tuna zunguka sehemu nyingi sana
huwa tuna msimu wa kupost picha hapa
kuna sehemu nyingine Tunatakiwa kuchangia sio hapa tu.
Mnakuja jana mnadhani hizo ngonjera nizaleo!! Poleni sana
 
Lemme explain this
Dar naona majengo yote marefu yako sehemu moja, CBD. After that part zingine za Dar hatuzioni or any development
NAIROBI
CBD, tallest tower ni Times Tower(140m), tallest under construction ni Hazina Trade Centre(180m) but hii building iko na mashinda mob, tallest proposed N/A
UpperHill. Tallest tower ni UAP(163m), tallest under construction ni Britam(200m) almost done, na Hass tower 1(330m), by 2020, Hass tower 2 (201m). Tallest proposed so far Kuna The One(270m), Upperhill Square (280m) na CPF(over 300m)
Westlands. Tallest ni Le Mac(126m). Tallest Under construction AVic(182.5m) na Avic Hotel(141m). Tallest proposed, The Argos(over 300m).
Then kuna out of the city boundaries, penye kuna Metropolis, they have proposed Bolyene Towers over 300m
Na these are just the tallest, sicount the shorter ones. So if you come to the CBD and expect kila kitu kuwa hapo ni a lie. We have like 3 different CBDs, some few km of each other, separated by residential places
 
Wewe post acha kupiga kelele. Ama nipe 5 neighbourhoods nijioneeee. Picha ninazo post mimi sijaziona humu.
 
Wewe post acha kupiga kelele. Ama nipe 5 neighbourhoods nijioneeee. Picha ninazo post mimi sijaziona humu.
 
Kuona Nairobi online si kufika Nai..kutoka tu Airport hadi city centre(Mombasa road) utaheshimu hii city
Nimegundua wa Kenya huwa hamtembei Naona ni uchumi unawabana
Ila kuna wenzako wanakujaga na magari ya shule au vyuo kutoka uko kuja Tanzania ku enjoy kama pasaka hii wamejaa uku wanapenda sana kwenda Mwanza na Arusha ila dsm wanaona gharama kufika
 
Nimegundua wa Kenya huwa hamtembei Naona ni uchumi unawabana
Ila kuna wenzako wanakujaga na magari ya shule au vyuo kutoka uko kuja Tanzania ku enjoy kama pasaka hii wamejaa uku wanapenda sana kwenda Mwanza na Arusha ila dsm wanaona gharama kufika
Nyinyi kwanza mnakazia wakenya kuja huko kwenu..kwenda Uganda ama Rwanda nahutaji ID ya Kenya but hapo kwenu nyinyi watiaji ndio maana hamtawai endelea
 
Mtume suburbs bwana..hii ni nyayo estate upper middle class. the last photo has JKIA on the background.
Nilikuambia wewe na mwenzie
Ma Zero
hakuna jipya hapa Jf mnalo ninyi!!
Wakenya wenye akili kuliko ninyi
walisha maliza hizo habari,
Hatupo hapa kurudia ujinga!!

Mada ya Suburbs ilianzishwa 2012
na imekuja kutulia mwaka 2016 miaka 4 watu wanajadili Suburbs
leo mturudishe kule!!



Mnapo kuwa wageni mjaribu kutuliza Nyege
hakuna jipya Humu Jamii forum
 
Cbd huku ni tatu msee

Kwenye hiyo photo ndio CBD zenye majengo yote marefu old CBD inaonekana TIMES TOWER ambayo ni only over 30Floor, na kule Upper hill kuna BRITAM na UAP only 2 towers with over 30 floors. Huko Westland bado hamna tower yoyote ndefu yenye zaidi ya 30 floor labda baada ya miaka 4. Kwa hiyo hiyo picha hapo inaonyesha majengo yenu yote marefu. hiyo CBD ya tatu bado sana.
Hivyo nakushangaaga sana kila siku unasema Dar ni tower mbili tu.


From Onboard Kilimanjaro 6 from Zanzibar by indaressalaam, on Flickr

Dar Zanzibar trip by indaressalaam, on Flickr

From Onboard Kilimanjaro 6 from Zanzibar by indaressalaam, on Flickr


The view from MNF Tower rooftop. by indaressalaam, on Flickr


Hata nje ya CBD Kuna BUildings over 30 Floors

Kijitonyama Area
by indaressalaam, on Flickr
 
Si mmesema hii ni 2017...na mnataka vi2 za 2017....ka Hamna picha za suburbs museme kuliko story mob
 
Umeprove dar ni tower mbili [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…