Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Miji mingi kwa sasa imebadilika hapa Tz, japo utamaduni wetu wa kutojali mazingira unatuangusha. Yani barabara mpyaaaa, lakini, uzuri utabaki kwenye hiyo barabara tu, makazi na shughuli zingine bado zinachukiza miji yetu. Hakuna bustani za kutosha, pia unakuta barabara zina sehemu ya maua ama nyasi au miti, si watumiaji wala mamlaka husika wanaojali. Hapo usisahau mabanda ya maduka yasiyopangwa, mama ntilie n.k, duka linaanzia ndani ,vitu vinapangwa hadi barabarani. Yani unaingia mjini utasema pamepigwa mabomu.
hapo kwa mabanda na maduka ndipo pamenichosha mie. yaani miji ya tanzania imepangwa ki-shaghala baghala tu. bora uhai
 
Tupia tena downtown nisikie raha
nah! wastage ya time yangu. Pambana na hali yako. Inanishangaza sana muafrika mwenzio anakuonea wivu wakati mna the same strategy almost katika kila kitu. Nimepost growth ya kijitonyama halafu unaniambia eti yuma kuna "bonge la slum" nyie jamaa ndio kinachowafanya mfeli katika kila kitu you are so focused on us kiasi kwamba mnasahau kuwa mna shida nyingi tu za kutatua.
 
Kula hyo mwanzo..
1297207.jpg

tapatalk_1539419605598.jpeg

Alafu cheki dume lenyewe hilo pia
 
nah! wastage ya time yangu. Pambana na hali yako. Inanishangaza sana muafrika mwenzio anakuonea wivu wakati mna the same strategy almost katika kila kitu. Nimepost growth ya kijitonyama halafu unaniambia eti yuma kuna "bonge la slum" nyie jamaa ndio kinachowafanya mfeli katika kila kitu you are so focused on us kiasi kwamba mnasahau kuwa mna shida nyingi tu za kutatua.
Naona una hasira..go wipe your tears bro...najuwa wananchi hamuez kuendeleza mahali bongo..mpka serikali wawajengee
 
Big deal sababu sasa hivi watu wangapi wanaweza kwenda kuongea kwenye chombo kama BBC bila mkalimani? Watu hawajiamini ila hawa vijana wa Arusha wanaweza kuongea ngeri, ung'ee bila shida. Kama umeona wivu kafie mbali ndiyo maana maofisini na vitengo vingi tumejaza watu wa Kenya na Uganda mpaka watoto wetu wanafundishwa na hao watu kisa, mnaona kuonge ung'e ni aibu kumbe wavivu.
Thanks!
 
Nenda salama ukale albino
Dude, being on jf, making fun of people you don't know can be fun. I assume that's the only thing that makes you happy but from my perspective, you are living a very sad life. Go have some real fun, go to a party or watch a movie with your family or something coz at least that can change you from a disrespectful brat to a more descent kenyan citizen. Go have some fun
 
Ok...
 
Mshamba ww, hv bongo h kuna shopping mall kubwa wap tena mbali na Mliman City na Rock City Mall,, huto ulitonitajia natufahamu vzr ki arusha n tu mall lkn kwa wajuvi ni tu supermarket.. tembea kijana
unajua, kitu nimegundua ni kuwa m'bongolala, 'm'bongo duni' hajui kutofautisha kati ya 'Mall' na 'Supermarket'
 
They ar malls to you, but to me they ar Supermarket. Ww inaonejana hata anakochezea Abd Banda hujafika
 
Back
Top Bottom