Walker255
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 4,884
- 12,949
hebu nionyeshe hilo bonge la slumNyuma y hzo building kuna bonge la slum
hebu nionyeshe hilo bonge la slumNyuma y hzo building kuna bonge la slum
What about a presidentili iwe nchi unahitaji pia JESHI.
Heheeee!!!wacha kujitoa ufahamu..kwhyo dar kuna rais zanzibarMbona Dar inabendera yake pia! Nikuletee bendera ya Mombasa au ya Nairobi! Go google utapata mpaka bendera ya Turkana![]()
Wacha ushabiki wa kijinga wewe...kijinga wewe...nyumba zote hzo ziko barabaranihebu nionyeshe hilo bonge la slum
>>>nimekuuliza swali gani?
hivi unajua maana au matumizi ya "alama ya kuuliza" (?) kweli???Sasa hilo ndio swali gani?
don't freak out, nimekuambia unionyeshe hilo bonge la slum, nionyeshe, naona unaniletea bla bla bla tu.Wacha ushabiki wa kijinga wewe...kijinga wewe...nyumba zote hzo ziko barabarani
Jibu swali.>>>
hivi unajua maana au matumizi ya "alama ya kuuliza" (?) kweli???
tingisha kichwa chako kidogo. kimejaa uji
Haha......obviousNyuma y hzo building kuna bonge la slum
good questionArusha ikiwa Geneva ya africa mombasa itakuwa nini?
well repliedMombasa itakuwa Hawaii ya Africa.
Siez rudia picha kw ma taira km nyinyi..eti akili zako zakwambia hilo umenikamata...ugua pole poledon't freak out, nimekuambia unionyeshe hilo bonge la slum, nionyeshe, naona unaniletea bla bla bla tu.
tingisha kichwa chako kwanza ndio urudi hapa!!!Jibu swali.
Hawa wasee ni wajinga kwel...yani dar nje ya cbd ni utbo mtupu nakwambiaHaha......obvious
tafadhali chunga lugha yako unapokuwa unazungumza na mtu hasa pale kama hajakutukana hata kidogo. Utu uzima ni kujiheshimu na clearly hujiheshimu hata kidogo. Nilikupa jawabu uniletee hiyo picha na hujaniletea unakalia kupanua domo lako hilo kama nyuma ya sufuria bila majibu yanayoeleweka. Nenda kafie huko kwenye nchi yenu ya kishenzi na siku nyingine kama huna proof ya unachokisema usijaribu kuleta upuuzi wako kama huuSiez rudia picha kw ma taira km nyinyi..eti akili zako zakwambia hilo umenikamata...ugua pole pole
Wacha hasira wewe...tafadhali chunga lugha yako unapokuwa unazungumza na mtu hasa pale kama hajakutukana hata kidogo. Utu uzima ni kujiheshimu na clearly hujiheshimu hata kidogo. Nilikupa jawabu uniletee hiyo picha na hujaniletea unakalia kupanua domo lako hilo kama nyuma ya sufuria bila majibu yanayoeleweka. Nenda kafie huko kwenye nchi yenu ya kishenzi na siku nyingine kama huna prooff ya unachokisema usijaribu kuleta upuuzi wako kama huu
oh really, i never knew Arusha was this tiny.Ngoja nipige picha maanake ukisimama upande mmoja unapata picha ya mji mzima.
wala sina haja and besides, kijitonyama wala hata sio central business district na inakupa wenge hivyo, cbd yenu umeshaiona au huwa unaangaliaga picha zenye filters na make up😀😀😀😀😀😀Proof gani unayotaka..n wakati ukwel umejianika...km we mwanaume kwel na waikibali kijicho nyama tupia aerial view ikuumbue..heheee![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Tupia tena downtown nisikie rahawala sina haja and besides, kijitonyama wala hata sio central business district na inakupa wenge hivyo, cbd yenu umeshaiona au huwa unaangaliaga picha zenye filters na make up😀😀😀😀😀😀View attachment 896994View attachment 896995
ndio nimekwambia hivyo na it's a Tanzania thing. I can assure you sisi sio arrogant na hyenas kama nyie so kama unataka kuconverse na mimi vizuri tu naomba utumie lugha ya heshima la si hivyo tutaonana wabayaWacha hasira wewe...