Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mambo VP gay ? Mzima wewe? We kama si gay basi ni jike shupa au lesbian
😛😛😛😛😛continue with your assumptions little boy.Everyone is entitled to their own opinion unawezafunguauzitujadilikuhusujinsia.
Huu uzi ni wa Nairobi 🆚 darislum
 
kuna msee alisemanga hapa ati sijui azam iko kila mahali kenya hio ni chakula gani jameni.
Nimejulia hilo humu jf. Eti azam flour. Lol. Western Kenya wanasaga unga kwa mahindi yao wenyewe. Rift valley na Central wako na mahindi mengi sana. Sasa mimi nashangaa hizi noogle zinasema nini. Eti mahindi yanatoka kwao. Kenya tunao wakulima kibao.
 
Yah hapo umeongea ukweli Ethiopia ndo level yenu,mnafanana kila sekta
1.GDP kuuubwa huku raia wa kawaida mna njaa kali sana
2.Nairobi ipambane na addis,dar hamuwezani NATO
3.wote nyie ni failed states wa muda mrefu,lakini Ethiopia wanajikwamua kwenye hiyo status

Nairobi ni level ya addis ,dar kaeni nayo mbali,hamuiwezi!
Lol.....Hii ni bhangi gani
 
Nimejulia hilo humu jf. Eti azam flour. Lol. Western Kenya wanasaga unga kwa mahindi yao wenyewe. Rift valley na Central wako na mahindi mengi sana. Sasa mimi nashangaa hizi noogle zinasema nini. Eti mahindi yanatoka kwao. Kenya tunao wakulima kibao.
Lol.....these tanzanians though.....they live in some legendary denial....tumeambiwa Nairobi a 5.5 trillion city ikae mbali na fishing overgrown village of 2 trillion......hehehe
 
Pinnacle updates please.
 
Hio inaitw kujipa matumaini. They know vevy well kenya is ahead of them by far in every thing so they console themselves with petty things.
Nimejulia hilo humu jf. Eti azam flour. Lol. Western Kenya wanasaga unga kwa mahindi yao wenyewe. Rift valley na Central wako na mahindi mengi sana. Sasa mimi nashangaa hizi noogle zinasema nini. Eti mahindi yanatoka kwao. Kenya tunao wakulima kibao.
 
Lol.....these tanzanians though.....they live in some legendary denial....tumeambiwa Nairobi a 5.5 trillion city ikae mbali na fishing overgrown village of 2 trillion......hehehe

Kuna ule msemo wa maskini akipata matako hulia mbwata. Baada ya hawa watu kujenga minara sijui mingapi wanaona kwamba wamefika. Mwingine kajigamba eti wameipiku Nigeria.Hawa watu wanafaa watembee wajionee dunia
 
housemaid anakesha jf siku hizi ku monitor comments za kadoda... smh
Kama ndiyo huyo Dada anaye tumia jina LA janerose hiyo ni id Mpya alikuwa anatumia jina furani hivi majuzi akapost picha kashika chupa ya pombe mkono umekomaa mbaya utazani mgonga kokoto
 
uongo upo wapi sasa hapo Mbugila?
Hv unaeza nambia hii bendera ni ya nchi gani...
203px-Flag_tz-sansibar_2005.jpg
 
Back
Top Bottom