I'm talking about height not density.hio ndio skyline imekutisha hahahahha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani hakuna hata desnity ya maana hapo kama vile nairobi ilivo
what height is there bro hebu sometimes be serious😀😀😀😀😀😀I'm talking about height not density.
Ichoboy this building is suppose to be 48floors, right now uko 40th floor something that Dar is just dreaming about.what height is there bro hebu sometimes be serious😀😀😀😀😀😀
Anajifanya hawajui hahaaaaaa wakenya mwaka huu wanapata tabu sana!usiwe na haraka... utawajua hukohuko kenya wakiwa kwa stage ya wasafi festival.
jiandae kupata mziki mzuri... achana na kutaka kujua watu.[emoji23]
so is that nairob????? 😀😀😀😀😀 adiss ababa ni level ya nairobi lakini sio level ya dar my friendIchoboy this building is suppose to be 48floors, right now uko 40th floor something that Dar is just dreaming about.View attachment 895452
I dare you to bring those 8+ buildings with 35flrs here.so is that nairob????? 😀😀😀😀😀 adiss ababa ni level ya nairobi lakini sio level ya dar my friend
to have one building with 40 floors and to have more than 8 buildings with 35floors wapi unaona raha kwako
comrade hongera sana kwa jitihada zako za kuwaelimisha. but don't expect any positive comment from them.Hapo ndio kuna maelezo yote ya jinsi division zinavyopatikana, kwahiyo tukisema mtu kapata Division one uwe unaelewa jinsi inavyochakatwa.
Pia jambo lingine zuri Tanzania ni kuwa si kila mwanafunzi aliepata vizuri basi lazima atataka kusoma Udsm. Hii ni kwa sababu tuna vyuo vingi ambavyo ni special kwa fani mbalimbali. Mfano
Muhimbili University ni kwa ajili ya fani za afya tu
Ardhi university ni kwa ardhi tu
Sokoine university ni kwa ajili ya kilimo tu
IFM ni kwa ajili ya finance and related courses.
NIT Ni kwa courses za transport
Mzumbe University ni kwa courses za biashara na uongozi
TIA ni kwa courses za uhasibu
MUST, DIT na ATC ni special kwa engineering tu.
Udom na Udsm ni general
Kwahiyo karibu sana Tanzania kwa ajili ya kusoma. Pale University of Dodoma tuna nafasi 40,000 (zote on campus ). Na bado hazijajaa.
Hapo chini ni combinations mbalimbali za A level
View attachment 895412
ni kawaida yao kujitoa ufahamu. wazoee tu.Anajifanya hawajui hahaaaaaa wakenya mwaka huu wanapata tabu sana!
Nice. Naja hivi karibuni panapo maajaliwa yake Maulana. Nilikuwa nimekuja zamaniHapo ndio kuna maelezo yote ya jinsi division zinavyopatikana, kwahiyo tukisema mtu kapata Division one uwe unaelewa jinsi inavyochakatwa.
Pia jambo lingine zuri Tanzania ni kuwa si kila mwanafunzi aliepata vizuri basi lazima atataka kusoma Udsm. Hii ni kwa sababu tuna vyuo vingi ambavyo ni special kwa fani mbalimbali. Mfano
Muhimbili University ni kwa ajili ya fani za afya tu
Ardhi university ni kwa ardhi tu
Sokoine university ni kwa ajili ya kilimo tu
IFM ni kwa ajili ya finance and related courses.
NIT Ni kwa courses za transport
Mzumbe University ni kwa courses za biashara na uongozi
TIA ni kwa courses za uhasibu
MUST, DIT na ATC ni special kwa engineering tu.
Udom na Udsm ni general
Kwahiyo karibu sana Tanzania kwa ajili ya kusoma. Pale University of Dodoma tuna nafasi 40,000 (zote on campus ). Na bado hazijajaa.
Hapo chini ni combinations mbalimbali za A level
View attachment 895412
TPAI dare you to bring those 8+ buildings with 35flrs here.
18 kama u wont count M+G ukiziweka ni 20floors18 or 20 floors?