shida yenu ni kwamba kila kitu mnataka kiwe battle.HUYO ANAKAA 40 YEARS NI YOUNG-SMH!!!!!!
Nikiwa na 23 nilikua chuo mwaka wa3Kenya's youngest Mp....John Paul MwirigiView attachment 893105View attachment 893106View attachment 893107View attachment 893108
They say we are tribal but at least we are a very free and liberal country........hata USA kuna racism
shida yenu ni kwamba kila kitu mnataka kiwe battle.
babu owino na antony mavunde wote ni watu wa kizazi cha 80s. hakuna mtu aliyezaliwa 80s amefikisha 40yrs.
Aaah! hapa ninaona unajifariji tu. Asiyejua anaweza kuona kuna hicho unachodai lakini kiundani hali haipo hivyo. Kila uchaguzi lazima auawe mtu, hiyo demokrasia gani? Aidha, unatoa mfano wa USA, kwani hao ndiyo mfano wa demokrasia ya kweli?
hapana......nimeenda na wasee for nyama choma and a few pintsHongereni wadau,mmetengeneza pilau nyumbani?? ππ
ππππππππ
Hamna anayeumia. Yote mema.Basi kumbe ushamaliza kesi. Hapo ninaona ni suala la nipe nikupe. Kama ni matusi hata wewe ninaona unayatoa na wao wakikupa ni sawa tu. Na ni suala ambalo pande zote mmeridhia, hasa nikizingatia sentensi yako ya mwisho.
siasa zetu za sasa ni za hapa kazi tu.ok....noted.but mbona simsikii sana
Hamna anayeumia. Yote mema.
Ukimwogopa mwanadamu utaishi maisha mabaya sana
OK πTusonge mbele
Sijui kama majirani wanaweza kuwa na nguvu kama za huyu Hassan, njaa mbaya kweli loh![/QUOTE
Wanaume wawili wanapewa kichapo cha mbwa sembuse huyu.
Sojaaa sojaa tumevamiwaa π π π π
Msicheze na walaji ugali ilhali nyie mnasosi wali
Kiingereza kilikuja na meli. Hata mimi sikielewiwhat happen to avic ππππ mumekosea kujenga au
Lugha ya mabwana zenu imekosewa, mwanamke anakasirika[emoji16] [emoji16] [emoji16]Kiingereza kilikuja na meli. Hata mimi sikielewi
Nimesema sikielewi. Idiot!! Ni nini hujaelewa hapo juu?Lugha ya mabwana zenu imekosewa, mwanamke anakasirika[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Ndio mkuu, nilisoma Tanga techDaaah mkuu
Mi nilipita Mazengo tech, umechambua vzuri sana tulivokua tunasona. Bila shaka umepira technical school