Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Then why are you building another rail?
Ilo swali ni la kipuuzi unajua Tanzania ina reli ngapi ? TAZARA ni reli ya kutoka Dar to Zambia sgr aijengwi huko sgr inajengwa kwenye reli ya kati inayotoka Dar to Mwanza mpaka kigoma Tanzania inazo reli tatu out of sgr
 
The fastest don't always win the race
The strongest don't win the battle always
It's always good to be at the right place at the right time
 
Ndio mfumo man kila mtu anapitia mayb upate bahat ya kusoma English academy primary itakusaidia lugha secondary kiaina

Tuusan hii riwaya imeandikwa na mkenya. Nimeileta hapa ili kukuhakikishia kwamba Kenya kuna kiswahili. Ameandika vitabu vingine pia ambavyo vimetumiwa katika fasihi shule za upili
 

Attachments

  • 0586a03b6623e1eea980e6b1a4330ba8@2x.jpg
    49.1 KB · Views: 34
Ingekua rahisi NBO kushinda hii battle endapo Dar isingekua inafanya yafuatayo....
1.Ujenzi wa SGR ambayo itakua na treni Za umeme
2.Ujenzi wa Kimara-Kibaha highway 6lanes awamu ya kwanza
3.Ujenzi wa BRT Awamu ya pili na tatu
4.Upanuzi wa JNIA T3
5.Skyscrapers kadhaa katika hatua za mwisho za ujenzi
6.Selander cable bridge 7km(this has no match to Nbo since it's an inland city)
7.DAR port expansion (this has nothing to compare with Nbo )
 
Am waiting for five years we compare 'notes'. Geza one time claimed by end of 2015 Dar will be at par with Nai., but when you visit na kupita hapa na pale, hamna, ulubwa lakini balaa! If all these lined up devt will materialize, hopefuly, and the ones in Nairobi; knowing Kenya tunasema na kutenda.., we shall know., Nairobi aint stagnant. Tutaona.
 
Kuna siku nilikua na wakenya wawili mahali nje ya Africa. Mmoja wa Mombasa huyu yuko poa sana na anaongea swahili safi. Watanzania tulikua tunampenda sana akawa rafiki yetu sana. Ila huyu wa Nairobi alikua anawadharau sana watu wa Mombasa na kuwaita wavivu hapa aliniudhi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…