Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kitu quality..class 1..
Haya sasa hyo ya ethiopia na ya tz wanazodaisha ni za umeme wajaribu kubeba double...kisha eti wanadai mchina katucheza..nynyi ndo mumechezwa vibaya buda...
Class 2 ukibeba double stack si reli itangoka budaa...

Kenya hawatuwezi ukanda huu walai
eeh reli cheap hio..Ya ethiopia stima hupotea wasee hukaa stranded 10 hours..Tz itakua worse na hio umeme yao kidogo
 
1538400825587.png
 
eeh reli cheap hio..Ya ethiopia stima hupotea wasee hukaa stranded 10 hours..Tz itakua worse na hio umeme yao kidogo
sisi tunaona in terms of cargo too.....hao wanafikiria tu the fake electric ya 140 km/hr........hii yetu can do both people and goods at 120 km/hr...........................................
 
sisi tunaona in terms of cargo too.....hao wanafikiria tu the fake electric ya 140 km/hr........hii yetu can do both people and goods at 120 km/hr...........................................
who told you 😂😂😂😂👇👇👇👇
ur train cargo is 80km per hr usidanganye watu hapa
CE0BF9B6-1C86-4C5D-9356-EE949F476710.jpeg
 
there is one theory that says "money follows money(pesa hufata pesa).

kilichofanya sportpesa waje ku sponsor baadhi ya vilabu vya tanzania ni kutokana na ukweli kwamba tanzania premier league ndio league kubwa na ya pekee inayo generate revenue kubwa kuliko league zote za mpira wa miguu EA(i can prove it if you ask).

sportpesa hawajaingia tanzania kupata sifa za kijinga, wameingia tz kwasababu wanajua watapata profit. it's strictly business.
Km ni profit hyo kampuni imeingiza tena sana...sai chenye ywafanya ni kupanua biashara yake..en vile vile kutafuta popularity...

Mi siez kupinga..cz hakuna kampuni yenye itafungua tawi mahali hakuna profit...

Ila mjue mwisho atai sponsor hyo ligi yenu
 
hakuna sehemu sportpesa amezuiwa ku sponsor league ya tanzania. hata saa hii kama yupo tayari aje mezani tuzungumze.

tukielewana kwenye terms and conditions
anapewa sponsorship rights asap. la msingi ni pesa tu, mengine ni porojo.

previous seasons tanzania premier league ilikuwa sponsored na vodacom, kwa sasa league yetu haina permanent sponsor so the door is open for sportpesa.
 
hakuna sehemu sportpesa amezuiwa ku sponsor league ya tanzania. hata saa hii kama yupo tayari aje mezani tuzungumze.

tukielewana kwenye terms and conditions
anapewa sponsorship rights asap. la msingi ni pesa mengine ni porojo.
Bado ywavuta vuta mda tu...wajuwa akianza hayo mambo sai...boss mtaanza kuandamana kisa mtasema si kampuni ya wazawa...

Wengine watadai (kwani tz hakuna wazawa au kampuni zenye uwezo huo)

Manake nyie kw uzalendo tu..hamjambo...
 
Bado ywavuta vuta mda tu...wajuwa akianza hayo mambo sai...boss mtaanza kuandamana kisa mtasema si kampuni ya wazawa...

Wengine watadai (kwani tz hakuna wazawa au kampuni zenye uwezo huo)

Manake nyie kw uzalendo tu..hamuezekani...
la muhimu ni terms and conditions....hayo mengine ni porojo.

ni ukweli usio na shaka kwamba sisi watz ni wazalendo kindakindaki kwa nchi yetu. hilo halina ubishi.
 
Back
Top Bottom