Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1538385179728.png

hyatt arusha
 
You are going mad noww! And you also are getting carried away with it! Is this a Dar Nairobi battle or Mbeya Nairobi battle. By the way, where were you when we had those battles in the past!? I will help to dig out the related threads with such battles with the likes of Nakuru, Eldoret, Mwanza, Mbeya, Arusha etc
Please do. Am interested in seeing them
 
nyeri kericho or thika is way developed than dodoma arusha mbeya iringa but by tanzanian standards they are cities.......tanzanians you can pair each tufungue thread ukweli udhihirike
Unapenda league Za ajabu ww tangu lini iringa tulisema ni jiji?
 
Hata ivyo wacha niseme,hua nawashangaa sana watu ambao hujisifu wao ni wataalamu wa lugha humu ,Ni vyema mtu akikosea kuandika aambiwe na asahihishwe ili ajifunze tu..sasa kama uko vizur utaonekana tu,Wale wenye uwezo katika mijadala ya kutumia ubongo ndio ilifaa watembee kifua mbele sio wataalamu wa lugha maana hapa hatupo English class session

Nasijaona ubaya wowote mtu kuandika kiswahili kama kingereza hujui (japo kutokujua kabisa ili nalo tatizo)

Wakenya kutokujua kiswahili sio sababu ya msingi humu jamvini hali kadhalika ma comrade hii lughau malkia Ni lazima tukomae nayo maana kuna watu wanataka kujiona wamestaarabika kisa wanaweza kuunda sentensi iliojaa pumba kwa kingereza
 
GOR MAHIA....THE ONLY CONTINENTAL TITLE WINNER IN CECAFA........nondescript minute overrated tanzanian clubs are shitty......mliqualify african cup of nations last when?......kina tuusan hata hawakuwa wamezaliwa.......pwahahahahahahaha
Meanwhile All Gor Mahia and Fc Leopards footballers dream to play in Yanga/Simba/Azam one day.
 
Hata ivyo wacha niseme,hua nawashangaa sana watu ambao hujisifu wao ni wataalamu wa lugha humu ,Ni vyema mtu akikosea kuandika aambiwe na asahihishwe ili ajifunze tu..sasa kama uko vizur utaonekana tu,Wale wenye uwezo katika mijadala ya kutumia ubongo ndio ilifaa watembee kifua mbele sio wataalamu wa lugha maana hapa hatupo English class session

Nasijaona ubaya wowote mtu kuandika kiswahili kama kingereza hujui (japo kutokujua kabisa ili nalo tatizo)

Wakenya kutokujua kiswahili sio sababu ya msingi humu jamvini hali kadhalika ma comrade hii lughau malkia Ni lazima tukomae nayo maana kuna watu wanataka kujiona wamestaarabika kisa wanaweza kuunda sentensi iliojaa pumba kwa kingereza
Hii yote inatokana na nini?
 
Back
Top Bottom