Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Humu Jf hawa angalii Sura
Ukitukanwa naye anakula ban
Wewe changia bila uoga
ili mada ziwe tamu
ukitukana unaharibu Mada,
Tatizo wewe unaleta matusi yale ya hovyo kabisa
ambayo huwezi kuyasema mbele ya wazazi wako.
Jf inatembelewa na watu wengi

Fuatilia Threads humu
angalia Views utagundua hilo
sasa unapo tukana matusi kama yale du!!
But nyie huonea wakenya sana
 
Screenshot_2017-04-15-10-13-04.png
 
Ml

Mlimani ina zaidi ya acre 150 ...wewe acha ujinga ...if Ur top 2 in kenya Includes garden city with 50000sqm ..keep in mind they will be of same size ...haya kalale sasa...usiye jua maths
Wacha nikusho...sarit,westgate,Karen hub,Taj mall,Green span,garden city,yaya centre,2 rivers na Nextgen zote ni +30000 and above sqm zicheck hizo
 
Ona ulivyomshamba sasa...unatumia info za wikipedia . ...Angalia phase 3 mlimani ina additional ya 10,000sqm..na inakarbia kuisha....Hizo za two Rivers bado ,,,sana kujengwa zinaweza zisijengwe hata
TwoRivers shopping space imekamilika,
 
Back
Top Bottom