Heheee!!heheee...imekuuma hadi umeleta dar...imagine...Maumivu yakizidi muone dakitariView attachment 882289View attachment 882290
Jibu swali..kati ya charlie puth na chris brown marekani..nani ndio habari ya mjini...chris brown kwisha habari. labda kwako[emoji23][emoji23][emoji23]
Views can be bought and diamond was suspected in the song HalleluiyaYou tube walimjibu dimpoz ilikua ni aibu sana, tangu kipindi icho dimpoz anaonekana kama zwazwa
Hahaha sawa manUlitarajia wakubali ndio waaibike wao..wacha kuonge ujinga mingi buda...cheza chini brathe
Poor quality thingsHivi wewe KOMORA ni kilaz wawapi eti unaleta kidaraja ambacho Tz zipo kama 900,hahahahhahahah,huku Tz sku hizi tunaongelea cable stage bridge lanes 6-8hahahah .
Sina muda na kilaza kama wewe vipi ile mtambo yenu ya gongo/sgr uchafu.Ubora wake ni zaidi 000000Poor quality things
maumivu yakizidi muone daktariππππHii ndiyo nini?
Sijauliza kwa ubaya. Nieleweshemaumivu yakizidi muone daktariππππ
the battle is Dar vs Nai.πππsawa monkeyπππkilifi ni mnyama gani???Heheee!!heheee...imekuuma hadi umeleta dar...imagine...
Kilifi bridge ukitoa dar...hamna kitu chenye quality km hii nje ya dar
Sasa unataka kulingashi expensive things na hyo yenu cheap...mwanzo ujenzi wake wa hali chini sasa...napia katika rankings sgr ya tz na ethiopia ni za umeme ila ni class 2..ila ya kenya ya diesel ila ni class 1...sasa jiulize kwnnSina muda na kilaza kama wewe vipi ile mtambo yenu ya gongo/sgr uchafu.Ubora wake ni zaidi 000000
oooh sorry mkewangu. Sikujua kama ni wewe. Hiyo ni nyimbo inaitwa katika.πππ i miss youSijauliza kwa ubaya. Nieleweshe
sio kila nyimbo inachezwa club uwezi kusikia nyimbo kama ya john legend-all of me ichezwe klabu watu kama jux na benpol wanaimba rnb so ni ngumu kuchezwa club but jaribu kufatilia youtube then utanambia ipo vipiOna huyu msee!!navy kenzo tu hapo..ila kiba game ishampiga chenga..nandy,ben pol na jux..unaeza ingia club na usiskie dj akiplay nyimbo zao till dawn
what about Kenyans???πππMotooo