Kiambuu itawaaibishaHap hatuongelei kuhusu town...leta mkoa mzima tajiri tanzani tupambanishe na kiambu
Kiambuu itawaaibishaHap hatuongelei kuhusu town...leta mkoa mzima tajiri tanzani tupambanishe na kiambu
Hahaha, seems you are afraid of Town dude, your kiambu is Hell, Iringa alone can feed all your hunger dying population,Hap hatuongelei kuhusu town...leta mkoa mzima tajiri tanzani tupambanishe na kiambu
Wacheni mdomo..deni ni kitu cha kawaida sana kw zilizokuwa na maono...watu wa ldc ile siku mtafikisha loan ya tz percentage ndo itakuwa ndo mwisho wenu..manake pesa mtatoa wapi ikiwa wabongo wote vilazaSo ndio hii mnaita Nairobi metro hadi estates zake hua mlikua mnapost humu?...
Economic activity gani hufanyika humo zaidi
Heheeee!!hapo umemshika pabaya...zote hzo ni moto hazigusiki..afadhali alete mkoa wa darChoose any town in Kiambu..Thika,Kiambu,Juja,Kikuyu and Ruiru
Unajuwa thika iko county gani wewe...heheee!!!Hahaha, seems you are afraid of Town dude, your kiambu is Hell, Iringa alone can feed all your hunger dying population,
So Iringa Mkoa mzima unataka Right? Shall we?
Uku Tz mikoa iliondelea zaidi ni kilimanjaro na Arusha, kuna economic activities similar,tukianzia moshi municipal hadi rural kuko advanced sana, Inawezekana kukatofautiana kulingana na background za maeneo husika...Tea farming,coffee,Milk,industries in Thika,etc Towns za Kiambu County ndio Nairobi metro juu people there work in Nairobi.Machakos,Kajiado and kiambu are nairobi metro
Jaribu kua serious kijana nimeongelea mambo ya mikopo sangapi?pita wimaWacheni mdomo..deni ni kitu cha kawaida sana kw zilizokuwa na maono...watu wa ldc ile siku mtafikisha loan ya tz percentage ndo itakuwa ndo mwisho wenu..manake pesa mtatoa wapi ikiwa wabongo wote vilaza
Government Debt To GDP By Country
Country Last
Japan 253.00 Dec/17
Italy 131.80 Dec/17
Singapore 110.60 Dec/17
United States 105.40 Dec/17
Spain 98.30 Dec/17
France 97.00 Dec/17
Canada 89.60 Dec/17
Euro Area 86.70 Dec/17
United Kingdom 85.30 Dec/17
Brazil 74.04 Dec/17
India 68.70 Dec/17
Germany 64.10 Dec/17
Argentina 57.10 Dec/17
Netherlands 56.70 Dec/17
South Africa 53.10 Dec/17
China 47.60 Dec/17
Mexico 46.40 Dec/17
Australia 41.90 Dec/17
South Korea 38.00 Dec/17
Switzerland 29.70 Dec/17
Indonesia 28.70 Dec/17
Turkey 28.30 Dec/17
Saudi Arabia 17.20 Dec/17
Russia 12.60 Dec/17
Historical Data API Forecast
1Y 5Y 10Y MAX
World Europe America Asia
Wacha kuleta maelezo...wewe leta mkoa tajiri tanzania tupambanishe na kiambu county..Uku Tz mikoa iliondelea zaidi ni kilimanjaro na Arusha, kuna economic activities similar,tukianzia moshi municipal hadi rural kuko advanced sana, Inawezekana kukatofautiana kulingana na background za maeneo husika...
Mfano kask hakukua na mfumo wa kijamaa unlike sehemu zingine nyingi za Tz so kule kuko mbele kidogo kimaendeleo...
Mfano ni nadra sana kukuta familia moja haina mtu mwenye masters, degree ni kawaida Au familia nzima kukosa mwenye gari Au nyumba nzuri
Family=group of people who are closely related
Maelezo yanatoshaWacha kuleta maelezo...wewe leta mkoa tajiri tanzania tupambanishe na kiambu county..
Ok...am sorry my friend...but i was trying to show you this to your fellow bongolalazJaribu kua serious kijana nimeongelea mambo ya mikopo sangapi?pita wima
Poa nyang'auOk...am sorry my friend...but i was trying to show you this to your fellow bongolalaz
Poa nyang'auOk...am sorry my friend...but i was trying to show you this to your fellow bongolalaz
Unajihami, naona sasa unataka kuleta nchi nzima ya Kenya?Unajuwa thika iko county gani wewe...heheee!!!

Leta mkoa tajiri Tanzania tulinganishe....Kwa sasa real estate kiambu iko level nyingine....Pop yake na ukubwa wa eneo ili tuitaftie eneo Tz
Weka picha...Moshi ni private houses estate sidhan sina hakikaLeta mkoa tajiri Tanzania tulinganishe....Kwa sasa real estate kiambu iko level nyingine....
Utskuwa unapoteza muda juu kiambu mpinzani wake Kenya ni Nairobi Tu....Ok, let's go Kiambu Vs Iringa , 10th Town in Tz.
Real estate, agriculture , manufacturing etcSo ndio hii mnaita Nairobi metro hadi estates zake hua mlikua mnapost humu?...
Economic activity gani hufanyika humo zaidi
Moshi viwanda,kilimo, utalii!!Real estate, agriculture , manufacturing etc
Heheee!!thika iko kiambu county brother..km hujui ulizaUnajihami, naona sasa unataka kuleta nchi nzima ya Kenya?![]()
![]()
![]()
![]()