Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

the lady above commited suicide because of relationship issues
ndio maana nikasema una degree ya ujinga.look how fool you are. hasira ya
ujobless ikizidi jinyonge kama yeye.

the cause of her death is well documented by your own media.
[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji116][emoji116][emoji116][emoji23][emoji23]

 
unajua ww unafkiri ndoto zako za alinacha ziwe kweli ndugu yangu ikiwa 80b sasa hvi muna debt ya 60% na still uchumi wenu uko ovyo na red light mulishamulikiwa na IMF sasa hvi 70% of revenue inalipa deni what do u think in futureπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mpenda umbeya.this girl had relationship issues and with her issue rent could be easy because she can get a sponsor
 
unaogopa sana madeni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lakini munayapenda sana madeni
So what..tukiwa na deni inakuhusu nini...Poor guys here complaining..give me your number i buy u a drink via mpesa
 
hahaaaa!!jifurahishe brother..watu wangapi wana hela na wanakopa benki..wacha kujitoa ufahamu . walitangulia wengi sana km yeye...na bado nchi yapaa
 
heheee!!usharuka kwa longest bridge...
anyway hyo tazara yenu haina tofauti na hyo bridge ya kilifi
 
the only underwater hotel in africa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] manta resort pemba tanzania

leta za tanzania...wacha kukomaa na muungano...
 
nadhani huwo wimbo ushaelezwa kuhusu hilo jambo nyuma...haga..hya leta hyo gdp ya kenya by 2022
nani alikwambia 2022 mutakua na 300b nani alikufundisha ujinga huo mbona hujiulizi 10 yrs ago mulikua na growing economy ya 7% and above lakini hamukunusa hata 100b πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ akili kichwani mwako

hesabu za uchumi sio sawa na hesabu za kupanga bajia πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
leta za tanzania...wacha kukomaa na muungano...
mombasa si kenya, si ndio?
[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]

naona sindano uliyodungwa imekuingia mpaka unataka kutuchagulia vitu vya kupost.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
So what..tukiwa na deni inakuhusu nini...Poor guys here complaining..give me your number i buy u a drink via mpesa
ahahha wacha hasira sindano inapogusa tako we tulizana acha sindano itekeleze wajibu wakeπŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…