Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

we fala kweli kufa kwenye ajali au kuuliwa na binadamu mwenzio kwa bunduki lipi linakutikisa akili yako[emoji15][emoji15][emoji15] ar u crazy
Mbuzi mzee...I cant argue with a fool of your caliber u win.
 
actually nobody knows about tanzania out here.
Hamna mtu anayeijua Tanzania lakini cha kushangaza obama huja Tanzania mara kibao,mjukuu wa malkia anaitembelea Tz kwanza badala ya upuuzi kenya,putin alituma salamu za rambirambi kwa jpm,Tanzania inaongoza kwa kupokea ma-star wakubwa duniani wa mpira,mziki,golf etc EAC,hehehehe bado haijulikan sikweli eeee hehehehe tehhhe..
 
Hellhole? There is no place called like that in Kenya. Sijui mikoa ya Tz .I want to see Tz suburbs .kiambu has it's own. Leta za hiyo Kiambo ya Tz
 
yes, those ones think that tanzania is a zoo. they only come to watch wild animals.
 
Let me translate for you because you don't seem to understand anything written on that article..... rais ataacha deni la $69bln akimaliza mhula wake 2022 vile hii article imekosa kuongeza ni ati GDP ya Kenya Itakua plus/minus +-$300bln ambayo itakua 23% debt to GDP ratio.
 

wambie bro
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
we ni kilaza kumbe...taja hzo places ni hellhole za kenya na evidence pia[emoji38] [emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ