Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

What's your point here?
 
Ichogal and kadada are the names of lesbians from tz who cover themselves under boys names so that they can be recognised as great debaters. They know nothing. Someone tell them that we don't win by insulting others. Bicolor bongo less
 
sipendi ngonjera, ungekuja na evidence zinazopingana na uhalisia unaojulikana.
leta nyumba za tandale km zile za kibera zilizojengwa...ama highway yoyote mbagala km ile ya mathare...

hapa hmna cha ngojera...wenzako wamekuacha pekeako wanajua vitu hvo mbagala na tandale ni ndoto
 
mm nikulteee idadi sio nikuletee idadi yani ndege zote za kq ni leased aircrafts tumeelawana hapo😂😂😂😂
leta idadi kijana..wacha kubwabwaja..usisahau na mwaka wa leased kw kila ndege...hehew
 
nisisahau itakua lakini haijakua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] ikiwa munadai GDP of 80b alaf debt 70b hahahah ama kweli subirieni kuuzwa tu
Let's ushahidi deni ya Kenya ni $70bln kama la sivyo uache porojo....
 
nisisahau itakua lakini haijakua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] ikiwa munadai GDP of 80b alaf debt 70b hahahah ama kweli subirieni kuuzwa tu
ATA iyo deni unaleta paganga ni "Italia" kama vile GDP yakenya itakua $300bn.....
 
ATA iyo deni unaleta paganga ni "Italia" kama vile GDP yakenya itakua $300bn.....
itakua when😂😂😂😂😂 uhuru kenyatta kauza nchi tayari 70b usd debt hahaha mumekwisha tayari
 
Nairobi the silicon savannah ,city under the sun the only city in the world that have a national park si ya kulinganishwa na vitu vya kijinga.
 
Your so over ambitious my fren ,ur current GDP is $80+bln the country of over 45Million people ,dreaming abt $300bln now it's like flight of ideas
Sio $80bn ni $86bln....last year 2017 tulikua $74bn na growth ya 4% tujafika $86bn SASA huu mwaka tukikua Kwa 5.9% *- 2019 ina maana tutakua na GDP ya over $100bn...sasa Fanya calculations zako za na 6.5 economic growth Kwa miaka 4 uone......
 
Pwagu kapata pwaguzi
 
Mwandiko wako unadhihirisha kuwa wewe ni kivulana cha Kenya,mwanamke hawezi kuwa na mwandiko huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…