Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,752
- 218,339
Sifahamu aliyewashauri TCRA kutenda waliyoyafanya , kama ni mkono wa mtu basi kafanikiwa na hongera zake , Kiukweli pamoja na ving'amuzi vingi kubaki na TBC pekee watanzania hawataki kabisa kuangalia Channel hii , na kwa uchunguzi wangu wa valuvalu nilioufanya unaonyesha kwamba ukitaka taarifa zako zisiwafikie walengwa basi tangaza TBC 1 , bado sijafahamu hasa kisa cha watanzania kuisusia TV hii inayoendeshwa kwa kodi zao.
Lakini cha ajabu sasa Channel za Kiswahili kutoka Nairobi zikiwemo K24 , KBC , KTN NEWS zikiongozwa na KTN ndio zinazotazamwa mno na watanzania hasa wanaotumia AZAM na DSTV channels zenye watazamaji lukuki nchini Tanzania
Nachukua nafasi hii kuwashauri wafanyabiashara wenzangu kujaribu kutangaza bidhaa zao na Channels kutoka Kenya maana ndio zinazobamba hasa nchiniTanzania .