watu wanaishi karne zile za zamani...never moving forward. people are legalizing weed and they stuck in such 😀😀
We wont be alive i think.. Mpka kwa level hiyo..maybe sijui kitokee niniI have a question to my fellow East Africans
will we ever get here?
New York City, NY
View attachment 873373
View attachment 873374
View attachment 873375
View attachment 873376
View attachment 873378
Shanghai, China
View attachment 873388
View attachment 873380
View attachment 873381
View attachment 873384
View attachment 873386
View attachment 873387
even in 100 years i don't think so...We wont be alive i think.. Mpka kwa level hiyo..maybe sijui kitokee nini
We need demands za kutengeneza towers.. We need people to make their own companies zitazohitaji office space and not depending kihivyo kwa investors.. We need kuwa na uwezo ku manufcture things..ili kuwe na demand ya hizo towers .. Na kuwe na demands za kuwa na Grade A residential Appartments.. Na hotels..even in 100 years i don't think so...
kitu najua ni nairobi itafika mbele ya dar 😀😀We wont be alive i think.. Mpka kwa level hiyo..maybe sijui kitokee nini
Uache upuzi hela ya kujenga mnayo ya ninimcopy copy vtu vya watu inanipa wasiwasi kwny taasisi zenu mmejaza wazee you have to change Kenya kuna civil engineers vijana kibao na niwabunifu super wenye akili zao mnahangaika nini sasa hapo bado sijaweka UAP Tower yaani aaaaaarrrrrrh!!! Siku mkijengewa eiffel tower kibamia ndo mtaamka.![]()
![]()
![]()
ULIZA ARCHITECTS.
we need to focus on investments both local and foreign developers. but first, we make what we have attractive and hospitable for them.We need demands za kutengeneza towers.. We need people to make their own companies zitazohitaji office space and not depending kihivyo kwa investors.. We need kuwa na uwezo ku manufcture things..ili kuwe na demand ya hizo towers .. Na kuwe na demands za kuwa na Grade A residential Appartments.. Na hotels..
😀😀i've just noticed that you are my number one fan.i'm happy to know that someone out there in kenya is addicted and preoccupied with me in jf.
haki sikujua kama wakenya mnanifatilia namna hii pia sikufahamu ninachokiandika hapa jf kinachukuliwa kwa uzito mkubwa na wakenya.
kuanzia sasa nitaanza ku-behave kama celebrity since i have a big fanbase in kenya.
i feel so proud... thank you very much.
![]()
Acha nikukumbushe TPA building was designed and built by a Kenyan architect
👇👇👇Ukilinganisha urefu wa hayo majengo waliocopy na hayo yao unaweza kuwachapa makofi kbs aisee!!!!
Acha nikukumbushe TPA building was designed and built by a Kenyan architect
View attachment 873426
![]()
![]()
![]()
So unadhani mkenya hawezi ongea kiswahili??
Watta Wonderful Building sasa mlikuwa wapi kuwapa kazi watu hawa?!kazi ya kucopy na kupaste ni uvivu wa ajabu ajabu tu.Acha nikukumbushe TPA building was designed and built by a Kenyan architect
View attachment 873426