Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

THE HUB

1537525658079.png

DESIGNED BY KENYAN MUSICIAN AND ARCHITECT NAMELESS
He graduated from the University of Nairobi with a degree in Architecture although he made making music his priority
He also designed his own house
1537528884574.png
 
Mm niko kcmc.. Kiukweli wakenya wengi wanakuna pale moshi... Na hili sio kwamba ni kitu cha kushangaza coz watu wa wenu wa mipakan wanapataga shida ya huduma.. Hospital iko nairobi mtu anaona aje kcmc tu
So kumbe ulikuwa unaongelea kwa mipaka But thats just common sense, you go to the nearest hospital if there is an emergency .
 
Tz imedistribute major refferal hospital zake kwa zones
Muhimbili eastern zone and national
Benjamin mkapa for cental zone
Mbeya refferal for southern zone
Bugando for lake zone
Kcmc and Hydom for northen zone
So watu wa mipakani hawapati shida
________+ Mlongazila Hospital and the likes
 
So kumbe ulikuwa unaongelea kwa mipaka But thats just common sense, you go to the nearest hospital if there is an emergency .
Usikimbie ukweli, wakenya wanakuja Muhimbili kama hiyo article ya gazeti niliyokutumia, kwani Dar.inapakana na Kenya?. Kwanini watanzania wasiende Hospitali za Mombasa inayopakana na Tanga?. The truth of the matter is, Public hospitals in Tanzania are better equipped, cheaper and give better services than Kenya.
 
Mm niko kcmc.. Kiukweli wakenya wengi wanakuna pale moshi... Na hili sio kwamba ni kitu cha kushangaza coz watu wa wenu wa mipakan wanapataga shida ya huduma.. Hospital iko nairobi mtu anaona aje kcmc tu
Tundu lisu alitibiwa wapi
 
Tz imedistribute major refferal hospital zake kwa zones
Muhimbili eastern zone and national
Benjamin mkapa for cental zone
Mbeya refferal for southern zone
Bugando for lake zone
Kcmc and Hydom for northen zone
So watu wa mipakani hawapati shida
Every County has a referral hospital with atleast one Cancer Machine
 
Hili swala la Wakenya kucopy copy buildings limenikereketa kwa muda mrefu mno leo limenifika hapa bora niwanyee tu!!! Wajirekebishe afu bora umkopi mtu ufanye zaidi yake au at least mlingane,majengo yote Kenya waliocopy wamefanya chini ya kiwango,wasipojirekebisha sitoshangaa kuona eiffel tower kibamia katikati ya Nairobi.Baaam!!!!!!!!
 
Attachments

  • Screenshot_20180921-152115.jpg
    Screenshot_20180921-152115.jpg
    152.7 KB · Views: 18
  • Screenshot_20180921-150058.jpg
    Screenshot_20180921-150058.jpg
    136.7 KB · Views: 19
Hili swala la Wakenya kucopy copy buildings limenikereketa kwa muda mrefu mno leo limenifika hapa bora niwanyee tu!!! Wajirekebishe afu bora umkopi mtu ufanye zaidi yake au at least mlingane,majengo yote Kenya waliocopy wamefanya chini ya kiwango,wasipojirekebisha sitoshangaa kuona eiffel tower kibamia katikati ya Nairobi.Baaam!!!!!!!!
hao jamaa hawawezifanya vitu vyao vya kipekee so hawana jipya wakaona wacopy the gherkin na one world trade centre
 
Hili swala la Wakenya kucopy copy buildings limenikereketa kwa muda mrefu mno leo limenifika hapa bora niwanyee tu!!! Wajirekebishe afu bora umkopi mtu ufanye zaidi yake au at least mlingane,majengo yote Kenya waliocopy wamefanya chini ya kiwango,wasipojirekebisha sitoshangaa kuona eiffel tower kibamia katikati ya Nairobi.Baaam!!!!!!!!
ULIZA ARCHITECTS.
 
Back
Top Bottom