Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kijitonyama😀😀😀hivi haya majina huwa mnatoa wapi
ndio hata mi hushangaa, ati vijiko za nyama investors wakiskia hio jina washatoroka. But when they hear sexy names like "Upperhill, Westlands,Villa Rosa Kempinski!"
They simply come running.
shopping-at-kempinski.jpg
 
90% ya mitaa ya Dar or Even the Entire Tz ni Local, aka Swahili,
Hatuweziita mitaa yetu Upperhill au Westlands wakati sisi ni Waswahili,
I clarified this sababu naona ule unyani wa wakenya umejidhihirisha kiasi cha wengi wenu kuhoji majina kama Kinondoni, au Mbagala, Au Mbezi, Au Mwananyamala, au Kigamboni au Kimara,
Got it??
jibu poa...nilikuwa nauliza tu...sikuwa na ubaya wowote by the way...hayo majina yako funny, yanafurahisha sana ndio maana nikauliza yanatoka wapi...mfano yana maana gani au yalitolewa wapi na kadhalika...
 
ndio hata mi hushangaa, ati vijiko za nyama investors wakiskia hio jina washatoroka. But when they hear sexy names like "Upperhill, Westlands,Villa Rosa Kempinski!"
They simply come running. View attachment 872132
Walosema kenya bado haijatoka kwenye mikono ya ukoloni sasa ndo naelewa kwanini walisema ivo
 
Khaaaa kumbe na wewe hujui????..duh nyie wakenya kadri siku zinavyokwenda nazidi kugundua kwamba hakuna kitu mnajua,yaani ni watu flani wajinga vibaya mno..kwa akili hizo acha Kenyatta family iwaendeshe mzobemzobe!
Hivyo ndio Nyanya yako alikudanganya?? Look at this imbecile, ati Kenyatta family? Mara ohh mzungu ohh Kenyatta family na tukirudi kwa facts Kenyatta hana shamba yoyote kubwa inje ya Central province. Huyo mzungu unataja kwani hana jina ebu mtaje churai! Stop consulting your ass here just because your shitthole country is no match to Kenya. Kama hamuwezani kubali bro.
 
Pole sana inakuuma eeehh????..vumilia tu ndo maisha hayo!
 
Kwani nyinyi ni First World? Najua inakuuma ikabidi umeniquote.
Watanzania hunibamba sana na hizi uwivu zao. They follow up kenyan news wakitafuta even the slightest mistake ndio wajiconsult nazo wako juu yetu but only to realise they are always behind us.
 
Hivyo ndio Nyanya yako alikudanganya?? Look at this imbecile, ati Kenyatta family? Mara ohh mzungu ohh Kenyatta family na tukirudi kwa facts Kenyatta hana shamba yoyote kubwa inje ya Central province. Huyo mzungu unataja kwani hana jina ebu mtaje churai! Stop consulting your ass here just because your shitthole country is no match to Kenya. Kama hamuwezani kubali bro.

At the end of the Day,
These are your Masterminds, hamuwezi kuhepa hawa jamaa, Royal Families, they well rule Kenya forever
tapatalk_1502603663010.jpeg
tapatalk_1502603621977.jpeg
 
Attachments

  • tapatalk_1537289877795.jpeg
    tapatalk_1537289877795.jpeg
    109.3 KB · Views: 16
Ni jina la kiswahili,unataka unataka tuite majina ya waingereza kama westlands,westgate,upperhill????..what a slavery mindset??
Mbona hushangai embu,kakuma,korogocho,kiambiu etc
mbona swali lilikuwa simple tu?😀😀😀au unajishuku?
 
Back
Top Bottom