Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

 
The day Dar will have more multi-nationals companies and organizations than Nairobi then I will accept Dar is greater and mightier than Nairobi. For now this thread is useless like the "EA" IN "TEA".
krkrkrkrkrkr
 
hio fikra yake aendelee kufkiri lakini mm nawaambia nairobi kusanya mombsaa kusanya kisumu hamutoboi kwa dar
 
1590 km sq changa kwa 696 km sq hahahahhahahhahah kweli jamaa mtambo sio bureπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
kwanza ondoeni slum zilizo chukua area three quarter ya 696 km sq hhahhahaha alafu muje hapaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ila pia asanteni kwa kuja hahhahahahhah
 
punguzeni hio kitu kwanzaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ inawaua wakenya wengi hahahhahahahaha

 
aahahahahahahahaha
 
aahahahahahahahaha
wewe umebaki pekeako na humu hutoki heheheheh mulijua ni ile dar 90s enhhhhh hii 2017 baba na pabo tunaendelea kujenga nchi miaka 10 tumejenga nchi munatoa mapovu ingekua 20 mungesemaje πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
tumewakamata pabaya sana hahahahaahahhahahah mwenzako amesema muna mega city 10 nitajieni 2 tu ctaki zote 10πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
sifa ndio zinaowafanya munakua maskini sana munakalia kuiba picha za nchi za watu munaleta hapa hahahahhahahahahahahahhahahahah hii ndio bongo 2017
 
aahahahahahahahaha
kila kitu kinachohusiana na modern kiko dar hahahahahahahahhaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ munazuga hatoki mtu humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…