Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

i'm sure as hell that those statistics originate from the abyss of your ludicrous mind
if you remove the impenetretable dense fog of ignorance in your head you will think soberly,,,,,the fact thatyou dont see anything wrong with that thing you call dar is perplexing.....
 
Get to know about MachakosiView attachment 863353
Machakos,Kajiado etc hizo ni counties! Nairobi na Mombasa ndio the only City counties with metropolitan areas (satellite towns)
wyo_statuses_funny_quote.jpg
 
Kariakoo wanaichukulia poa lakini Miundombinu ilioko pale na majengo yake NBO watasubiri sana...
Nawashangaa San Hawa nyumbu wanajidanganya na izo estate zao mbili hapa...Njoo Makongo juu tokea goba madale hadi Bunju huwezi ona kitu cha ajabu wanachopost Hawa wazembe
 
weka picha wacha mdomo wewe...kwa akili yako unadhani naironi ni izi vijiestate zinapostiwa hapa?fika mitaa ya kina gigiri utaskia uko yankee ....mitaa yenye imepostiwa hapa ata haiwezi fika robo ya nairobi....
 
pwahahahahaha...............ati nairobi itasubiri sana.....oh lord !
 
nyinyi shindeni kariakoo ....nairobi yaendelea kupanuka....

hizi malls ziko machakos county part of nairobi metro
signature mall 1.jpg
 
Attachments

  • Gateway-mall-Syokimau-1.jpg
    Gateway-mall-Syokimau-1.jpg
    50.8 KB · Views: 33
Nairobi ilikuwa zamani sana, kwa sasa mtasubiria sana matatu, na i am afraid its getting even worse as it goes! Dar is flying!
 
nyinyi bado hudhani nairobi ni kicc.....lol...mkitoa akili yenu from our old cbd ndio mtajua nairoberry vizuri...........satelite towns like kitengela and rongai sahii hata zimepiku vitu kama arusha town ya tz.......you can visit yourself ujionee
 
huh! umeishiwa sera, mmekipata lakini leo, kkoo is even way better than your shanty cbd
thats your only decent place in dar,,,,,,staki kuingia ile area ya soko ya kariakoo......i have some ugly kariakoo pics.........na mbona video za outside cbd nyinyi huwa hamna.....maadui wa lami na modern estates.....lol
 
pwahahahahaha...............ati nairobi itasubiri sana.....oh lord !
weka picha wacha mdomo wewe...kwa akili yako unadhani naironi ni izi vijiestate zinapostiwa hapa?fika mitaa ya kina gigiri utaskia uko yankee ....mitaa yenye imepostiwa hapa ata haiwezi fika robo ya nairobi....
NBO inaukubwa gani sasa waai izo nyumba mnapost ziko hadi kila mahali nchi hii acheni pumba hapa
 
nyinyi bado hudhani nairobi ni kicc.....lol...mkitoa akili yenu from our old cbd ndio mtajua nairoberry vizuri...........satelite towns like kitengela and rongai sahii hata zimepiku vitu kama arusha town ya tz.......you can visit yourself ujionee
I don't really need a visit sir! I have lived and work there for a considerable amount of time sir!
 
NBO inaukubwa gani sasa waai izo nyumba mnapost ziko hadi kila mahali nchi hii acheni pumba hapa
lol...nyinyi kwa akili zenu hufikiria hata mnakaribia nairobi........hio kariakoo ni umoja phase one estate ya eastlands....a low income area of the city.......atleast i am coming to dar on november.....na i want to visit mitaa yenu mibovu hahaha......cbd mmenichosha nayo macho na makeup
 
Back
Top Bottom