Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
Kuna thread ya hilo jengo, nadhani imefika na kama haijafika basi ni kwa sababu ya Mike Sonko kusimamisha jengo. Tuna magavana makaburu sana huku. Mtuombee.onesha 40floors na tuhesabu hapa😂😂😂 wachina washasimamisha ujenzi leo wiki ya pili sasa