Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
It could be best kama ungeleta plans za mji pekee hyo ya screenshot haina mashiko
Then ukiangalia jina la thread aliendani na icho unachokipost
Tuwaoneshe uzr wa mji na si post za twitter
 
Hama JF ww. unaaibisha Bongolala nzima na unajiita mBongo. Pspf ndio tallest at 153m. Tpa ni 133m. know your facts.
Hyo ni ile tpa ya mwanzoni iliovunjika plan yake
Ndio maana ukiangalia iliojengwa ni 40flr while iyo imesemwa 35
 
Hivi Tukichukua huu mnara

Kisha tukaweka juu ya Jengo hili

Hatuwezi kuwa na mita 600m!!?[emoji23] [emoji23]
80% Ya majengo ya Nairobi vituko
yaani Jengo lina Fl 26 lakini lina 200m !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi Tukichukua huu mnara

Kisha tukaweka juu ya Jengo hili

Hatuwezi kuwa na mita 600m!!?[emoji23] [emoji23]
80% Ya majengo ya Nairobi vituko
yaani Jengo lina Fl 26 lakini lina 200m !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaniua kwa kicheko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…