kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
There is nothing scarery in your post..its that Tanzanians aren't in twitter to post crimes in the city
it's very easy to pretend like you don't care about the effect brought by nairobi criminal gangs.
but I'm sure you will run like a chicken when told that "super power" is approaching your way.
mkuu huyo dogo muache ajifariji.uzuri tunazo habari za kutosha kuhusu matukio ya uhalifu na hofu iliyotanda Miongoni mwa wakazi wa nairobi.Hahaha kwahiyo umetafuta umekosa!!
sasa hivi baadhi ya maeneo ya nairobi,wanasumbuliwa na kikundi cha kihalifu kinachofahamika kwa jina la "super power".unaambiwa hawa vijana matukio yao ni zaidi ya Panya road wa dar es salaam.kuuwa kwa siraha kwako ni jambo la kawaida.
