Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 8,296
- 3,648
Please tell me this is not dar
View attachment 844582
Annael, Jichoboy, kiwiko, Losermatic, kifusi boy
Please tell me this is not dar
View attachment 844582
Kama hamna nyamaza wacha udaku hapaSasa hiyo mizunvuko polini ina maana gani nimecheki mantiki ya hizo barabara sijaona sababu ya kuzijenga isipokua ufisadi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
so wewe unanionesha slum au floods sijakuelewa bado😂😂😂😂👆👆👇Please tell me this is not dar
View attachment 844582
namuuliza swali ananionesha slum au floods sijamuelewa😂😂😂😂😂😂
Please tell me this is not dar
View attachment 844582
tafuta picha za dar hapo si dar na dar huwez ukakuta nyumba wall yake ni mabati never nyumba zote ni blocks😂😂😂👆👆👆👆
Wow...what causes floods in many cases is lack of drainage,bad planning and poor roads workmanship...i thought you knewnamuuliza swali ananionesha slum au floods sijamuelewa😂😂😂😂😂😂
maana nachoona ni picha za floods😅😅
yani nyie simalia inawatoa uharo alaf nyie muwape uhuru😂😂😂😂 uhuru wenu wenyewe haujakaa sawasawa
Ok....is that dar-es-salaam?tafuta picha za dar hapo si dar na dar huwez ukakuta nyumba wall yake ni mabati never nyumba zote ni blocks😂😂😂👆👆👆👆
aisee duh! hii sasa kali 😀Watanzania hasa WA dar majority ni wachafu sana ,hawajui ABC za usafi wa usafi wa mazingira hivyo ni ndoto jiji LA dar kuwa safi!
Pili ni kwambaa!!! Shughuli zisizo rasm ni nyingi mno mpaka sehemu zisizo stahili!!!!mtu anachoma mishikaki kwenye kituo cha daladala!!! Mtu anauza mahindi choma kituo cha mabasi!?? Mtu anaosha magari pasipo stahili kisa kaweka bendera ya ccm!!!
Tatuu!?? Mipango holela ya makazi ukusanyaji taka ni mgumu mno!!!
Kila mahali ni wamachinga !?? Umewahi kujiuliza wamachinga wa kariakoo na karume wote hutumia vyoo!??,Je!?? nani atadhubutu kuwondoa Wakati mkuu WA nchi alisema wasiguswe!?? Kwa kifupi usafi dar ni ndoto
Wakenya ni wajanja ujue Museveni akienda deal yenyu iko at risk and now the whole world wants him gone, we can not tolerate Dictators & Socialists in Africa! From Nairobi to London to New york to Joburg to Kampala to Lagos to Accra we say free boby wine & Museveni must go!yakwenu yamewashinda sasa chuki zenu za kunyimwa bomba la mafuta na SGR zimechachamaa![]()
hio ni kibera ya wapi!?? Buda huwezi danganya Nairobians ati hapo ni kibera ama unadhani hatujui kibera wewe!Leafy suburbsMtafika tu...cheki kando ya Tan house kijitonyama suburb
![]()
![]()
Suburbs za Dar zinafaa kuwa zinakufanya happy lakini naona povu linakutoka...kijitonyama hoyeee!😂😂😂😂😂👇👇👇 safari umeshikwa kubaya munamuona mzungu mzjinga sana
View attachment 844564
No doubt Bro.Leafy suburbs
Ichoboy..do you have any comment!
Hapa umetuchapa kama watanzania 10 nil. Sasa bonyeza the visit icon ikuletee habari kwa upana.Ok....is that dar-es-salaam?View attachment 844588