Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar jiji moja ovyo sana.

Bado mtaisubiria JIJI KUU NAIROBI.

Dar imeishinda NBO kwa wingi wa watu tu. Of which hao watu, wengi wanaishi vibandani. POLENI

Sehemu nzuri Dar ni countable. Huu ndio ukweli. Lumumba za kiTZ watasema povu lakini tushawazoea. Nyinyi mko in denial. Low self-esteem people.
 
hahaha.... vijiji ndani ya jiji tena? ndio maana dar haina metro. sehemu iliyoendelea dar inatoshana na Mombasa ambayo ni 300sqkm,,, au hata Mombasa ni kubwa mno.
naona ww na ndugu yako munajiliwazaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†
 
haya zoom unioneshe slum hapoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ˜‚ we ulijua mzungu mjinga sana
 
mzungu sio hayawaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
google earth hio watu wanatafuta slum dar kwa torch usiku na mchana lakini wapiπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
nairobi







dar es salaam
 
Hahaha Mbeleni tu karibu na bahari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji88]

Kijiji chenu badooo
endelea kutafuta slum kwa torch ukipata nitagπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†

kama ukikosa okota picha za nigeria na sieralione useme dar umeskiaπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ‘πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…