Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wakenya bana ohh dreamliner mbovu sijui nn πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Acha kelele mingi kijana
Isiolo airport ndo hiyo hapo View attachment 840032View attachment 840033View attachment 840034
Nahii utaitaje
port%2Bp%255Bic.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
asante tanzaniaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
hakwenda kwenye mkutano lakin kateuliwa

 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
wakenya wengi hamna kazi ya kufanya....mnabuni kila maarifa ya ku survive nairobi.
hio ni jijikuu watu hutoka kila mahali duniani kuja Nairobi kuhustle. Ndio kwamaana huitwa Jiji ya mahustler na dar ni fishing village Nairobi nilazima uhustle hakuna excuse Starehe na utalii tuliachia Dar na Mombasa, Nairobi ni business as usual alafu holiday tunakuja Dar/Mombasa kuambia mwili pole.
Lucia-murotto4.jpg
Mzungu-makanga1.jpg
Justo.jpg
borehole-in-Kenya.jpg
24899998_10215500283759527_4692057194055497316_n.jpg
Lucia-murotto.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
hio ni jijikuu watu hutoka kila mahali duniani kuja Nairobi kuhustle. Ndio kwamaana huitwa Jiji ya mahustler na dar ni fishing village Nairobi nilazima uhustle hakuna excuse Starehe na utalii tuliachia Dar na Mombasa, Nairobi ni business as usual alafu holiday tunakuja Dar/Mombasa kuambia mwili pole. View attachment 840275View attachment 840276View attachment 840277View attachment 840278View attachment 840279View attachment 840281

Sent using Jamii Forums mobile app

Looks like a crackhead to me, nothing more
 
Tafuta pesa Kijana utembee.. Kuja nikuonyeshe Jiji ninini.

Honestly dar ina Kazi ya kufanya kufikia Nairobi
umejitahidi kuweka picha za dar,japo naona unahitaji kupata muda vizuri wa kuijua dar
ume upload picha kuonesha weakness za dar ambazo kimsingi majiji karibia yote duniani haziwezi kosekana,ichoboy nae ka upload weakness za nairobi,kwa Ku compare tu bado Nairobi is worse than dar!
 
umejitahidi kuweka picha za dar,japo naona unahitaji kupata muda vizuri wa kuijua dar
ume upload picha kuonesha weakness za dar ambazo kimsingi majiji karibia yote duniani haziwezi kosekana,ichoboy nae ka upload weakness za nairobi,kwa Ku compare tu bado Nairobi is worse than dar!
Nimetembea sehemu zote nzuri dar, unaweza rudi nyuma uone some of the pictures nilizo post za dar... what has Dar have to offer apart from the front part of the city. 99.9% of photos posted here are from the front parts of dar.

Nairobi pia inasehemu duni but hazijachukua eneo kubwa kama ya Dar.

Dar is trying but ipo bado sana kwa Nai.. kwa beach resorts ndio iko nyuma zaidi.. Bara bara bado sana.

That is my honest opinion..
 
Nimetembea sehemu zote nzuri dar, unaweza rudi nyuma uone picha nilizo post za dar... what has have to offer apart from the front part of the city. 99.9% of photos posted here from front parts of dar.

Nairobi pia inasehemu duni but hazijachukua eneo kubwa kama ya Dar.

Dar is trying but ipo bado sana kwa Nai.. kwa beach resorts ndio iko nyuma zaidi.. Bara bara bado sana.

That is my honest opinion..
Enhe mbele ya mji tuu.

tapatalk_1534437718442.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom