umerudi na hasira [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] matumaini hayo yatafutwa karibuni tanzania iko ndani ya ujenzi wa reli ya kisasa zaidi africa ya umeme so we kaa mkao wa kula kisu kiko pale pale mwaka huu hakuna sehemu mutatoka
alaf mall sio kitu muhimu sana kwa tanzania hio ufahamu maana usije kufkiri tanzania may b inatilia mkazi sana malll umekosea
tallest buulding + mnara yani nusu jengo nusu mnara so kwenye mnara kuna floor ngapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hakuna mji usiokua na barabara my friend hayo mawazo machafu toa kila nchi inajenga barabara kulingana na design na sehemu yenyewe so usijipe matumaini kuna nyie ndio wenye barabara, pole sana[emoji13][emoji13]
bandari ya mombasa sasa imeanza kuonja joto la jiwe toka kwa bandari ya dar na huku huge expansion ikiendelea kumbuka tunakula sahani moja na baada ya upanuzi kukamilika ndio mutamuelewa magufuli nia yake[emoji4][emoji4][emoji4]