Arnold mrass cannambo
JF-Expert Member
- Apr 13, 2018
- 4,067
- 2,640
hehehe malengo makubwa uhalisia mdogotena wasifkiri speed waliokua nayo nyuma ndio watakwebda nayo hio hio
miaka mitatu ya nyuma walikua na economy growth of 7% + leo hii wanagrow na 4.4%![]()
yani wacha tu asume we bado uko 2016
GDP growth ya kenya sahii iko 5.8% na uko hapa unalia 4.4
kwanza it is predicted to hit 6.3 by next year kweli hamtutakii nyinyi but soon mtaisoma lable tukiingia 100bln GDP mkiwa 60bln
yani mko bado nyuma saaana ebu imagine 80-50=30!! Hio nikubwa kuliko GDP ya Burundi
its like mnajenga economy ya country ingine from scratch
mko na shida kweli nyinyi

