Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acha ujuaji...ukiwa na tsh 20000 unaitumia wiki nzima uku wala sio siku tano,unga kilo tsh 900 mchele kilo 1300 nyama 1/4kg 1500 sasa ww aliekwambia pesa haina thaman ni nani..hata maharage 1/4kg ni tsh 500 tu
When I say siku tano namaanisha Chakula+ transport ya kila siku jijini. kama uko kijijini hio ni pesa ya 10 days.
 
s
sasa ndugu,,,,kila mtu akianza kuweka renders humu si itakuwa ni fujo!?
Halo no 2017
IMG_20180815_153321.jpg
IMG_20180815_153141.jpg
IMG_20180815_153232.jpg
tapatalk_1534336000627.jpg
 
We jua Kenya is already exporting oil & by 2021, full exportation itaanza. Kwanza ikifika kwa story za Mafuta hamfai kuwa mkiongea ju Uganda na Kenya ndio zina produce nyinyi mnapitisha mafuta ya wenyewe tu already sahii Mafuta imeanza kufikishwa mombasa While you guys are still day dreaming na mafuta ya wenyewe what a pitty
Ndoto za kenya kuwa tajiri namba moja duniani...

Kuna mkenya aliota ndoto za abunuasi kuwa taifa la kenya limefanya mapinduzi ya kiuchumi kidunia nakuwa taifa namba moja duniani

:MTAPATA TABU SANA
 
na kweli munaruka,ila maisha munayaacha chini
Sisi ni Middle class already buda kumaanisha 0ver 50% of kenyans live above poverty line! Nyinyi ni LDC! Meaning......vise- versa so mafuta ni added advantage kwetu or you can say an icing on the cake!
 
When I say siku tano namaanisha Chakula+ transport ya kila siku jijini. kama uko kijijini hio ni pesa ya 10 days.
nauli Dar Ni tsh 400 vocha 500 kwa siku anapata mb500 dk zakutosha hadi juice anakunywa akitaka ,punguzeni zero kwenye pesa yenu ili noti kubwa kabisa iwe ksh 100 kama ndio itaongeza thaman
 
The bigger the dept the batter ama hamjui By the time tuna anza full exportation of Oil GDP inataka kuruka hadi 150billion in five years wakati bado mko 60 billion alafu tuone Kama mtawezana Kenya always have a plan. Kwanza in real sense kenya has been functioning as a half country, most Economical and business activities happen in the souther parts of the country na hio pekee inaproduce 80billion+ GDP now for the first time we open the northern corridor and its boundaries (Ethiopia,Sudan&Somali) then tuanza kufanya biashara two times faster than before hence (80bln*2=160bln) simple mathematics & now we don't even need Tanzania i mean? We have the Largest port, the business capital of EAC(Nairobi), We produce Oil, We have a functional SGR with a huge capacity, Our country has the best road network in the region & is getting even more batter & connected, & so far we are the main pillar of trade in East & central Africa hence the most strategic nation in EAC! endeleeni kukimbiza upepo
Unajitahidi kua na malengo makubwa sana kuliko hali halisi,yani tangu mmepata uhuru 50yrs back ndio mmefikia $80bln alafu wasema itajidouble kirahisi rahisi tu ifike 160. ..
yani ni sawa na mm ambae napata small salary ya $500 per month niseme baada ya miaka mitatu ntakua na $1500 kitu ambacho hakipo
 
Ndoto za kenya kuwa tajiri namba moja duniani...

Kuna mkenya aliota ndoto za abunuasi kuwa taifa la kenya limefanya mapinduzi ya kiuchumi kidunia nakuwa taifa namba moja duniani

:MTAPATA TABU SANA
Kwa hii dunia dreamers are the ones who make it in life, The last time a kenyan tried to dream we produce the 1st black American president na siku za Campaign 2007 watanzania na South Africans made jokes of him being Kenyan but mwishoe mlisoma number another time high school students in kenya had a dream and three years later M pesa was born! Msicheze na ndoto za mkenya! Kumbuka juzi Uhuru akiota SGR mkatucheka na miaka mitano badaye Mnafuata hio trend. Leo tunaota Pinnacle mnacheka mkisahau ni juzi tu mlicheka ndoto la Britam na Avic kesho sijui mtasemaje?
 
Unajitahidi kua na malengo makubwa sana kuliko hali halisi,yani tangu mmepata uhuru 50yrs back ndio mmefikia $80bln alafu wasema itajidouble kirahisi rahisi tu ifike 160. ..
yani ni sawa na mm ambae napata small salary ya $500 per month niseme baada ya miaka mitatu ntakua na $1500 kitu ambacho hakipo
hehehe malengo makubwa uhalisia mdogo😂😂😂😂😂 tena wasifkiri speed waliokua nayo nyuma ndio watakwebda nayo hio hio
miaka mitatu ya nyuma walikua na economy growth of 7% + leo hii wanagrow na 4.4%😝😝😝
 
Kwa hii dunia dreamers are the ones who make it in life, The last time a kenyan tried to dream we produce the 1st black American president na siku za Campaign 2007 watanzania na South Africans made jokes of him being Kenyan but mwishoe mlisoma number another time high school students in kenya had a dream and three years later M pesa was born! Msicheze na ndoto za mkenya! Kumbuka juzi Uhuru akiota SGR mkatucheka na miaka mitano badaye Mnafuata hio trend. Leo tunaota Pinnacle mnacheka mkisahau ni juzi tu mlicheka ndoto la Britam na Avic kesho sijui mtasemaje?
yani hio SGR bora unyamaze wakenya walichokitarajia wamekuja kuoneshwa kitu hawakutegemea kabisa

pinnacle na montave hzo kwa lugha nyingine hua tunaita mimba changa😂😂😂😂
 
Unajitahidi kua na malengo makubwa sana kuliko hali halisi,yani tangu mmepata uhuru 50yrs back ndio mmefikia $80bln alafu wasema itajidouble kirahisi rahisi tu ifike 160. ..
yani ni sawa na mm ambae napata small salary ya $500 per month niseme baada ya miaka mitatu ntakua na $1500 kitu ambacho hakipo
Shida moja ambalo linawasumbua watanzania nikudhani Kenya ni Tanzania, 50 years tume manage kufikisha 80billion which infact ni kidogo sana in reference to the great financial & political instability problems+ terrorism, Droughts & corruption of which sahii tunafaa kuwa kitu 130bln GDP but due to the above tuko 80bln what of Tanzania???? Watu wenye amani, Zero Corruption, Magu Chuma!, Utalii wa kimataifa, Minerals za dhamana kubwa kama diamond, a longer sea coast full of natural habours, a far much bigger nation, no drought, Ujamaa, "Zero slums" etc... GDP=50bln *Mlikosea wapi? ni uzembe?, Albino? Ujinga? ama nini jameni!
 
Nchi inachukuliwa wasomi hawakuepo Yaani watu wameanza kusoma vizur miaka ya 1970 apo so bila elimu unategemea tungechomokaje...at least sahv kinaeleweka mikataba inapitiwa upya nk
 
Back
Top Bottom