Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
Kampala ipo betterUkweli waujua mombasa bado kabisa
Hivi inawezana hata na Kampala kwel?
Kampala ipo betterUkweli waujua mombasa bado kabisa
Hivi inawezana hata na Kampala kwel?
Ukiona hivyo taifa lao limekosa hicho kituleo umekuja na hoja ya chumvi![]()
Leo umelipua sana jipange upyaImetoa Arusha Jasho
niko busy sana nowdays... nikipata nafasi nitaskiza.Skiza new song ya Nyashinski-Hello
Hii ni bus stage au vyoo hiviKitale Bus stageView attachment 835580
Weka bus stage ina jengo kubwa kuliko hiloHii ni bus stage au vyoo hivi
Hii siyo Mombasa terminus ni Morogoro hapo. Sasa ya Dodoma ni kama airport yenuWeka bus stage ina jengo kubwa kuliko hilo
😁😂😂
yaani afadhali kariakoo hizo streets zimeparara na kuchakaa...hii ndio CBD? lol!![]()
BTW, that twin Towers is the most opulent building in Tz but look at the streets...![]()
![]()
sipendelei sana thread zingine sana nakua hapa kaka😂😂😂Ichoboy, huku ndio nyumbani. Sikuoni kwenye thread zingine. Mbona unaishi humu
endelea kujipa matumaini mwenye macho haambiwi kuona😂😂😂😂Imetoa Arusha Jasho
huyo jamaa ni kilaza sijapata kuona😂😂Leo umelipua sana jipange upya
Umempiga per rectal examinationhuyo jamaa ni kilaza sijapata kuona![]()

nimecheka sana ukiwaambia waeke miji yao 10 wanayoiamini wanakimbia kumbe wanajua kipigo chake😂😂😂😂Umempiga per rectal examination![]()
😂😂😂😂👇👇👇👇👇Weka bus stage ina jengo kubwa kuliko hilo
Haha Leo umeua panya inzi kwa nyundonimecheka sana ukiwaambia waeke miji yao 10 wanayoiamini wanakimbia kumbe wanajua kipigo chake![]()